وَفَوْقَ كلّ ذي علمٍ عليـــــمٌ .. Na Kila Ju Ya Mwenye Ilimu Mjuzi Zaidi..
Bismillah ARahman ARahim, Na Ewe Mahmmud Almasri, Amesema Allah Ta3ala:
{وَفَوْقَ كلّ ذي علمٍ عليمٌ}
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Sura:Yusuf]
Na Akasema Allah T3ala:
{يَرْفَعِ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا مِنكُمْ وَالَّذِينَ أُوتُوا الْعِلْمَ دَرَجَاتٍ}
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Al’Mujadala].
Na Wala Hakusema Muhammad Mtumi wa Allah Kua Yeye Anajua Zaidi Ya Jibril, Na wakati alipo mjia kumuliza jbril Ju Yake Swala Na Salam Kuhusu Saa Ya Kiyama:
[قال ما المسؤول عنها بأعلم من السائل].
[Akasema: “Mwenye kulizwa hajui zaidi ya muulizaji.
Na hakika mimi nakuona waingilia mambo Ya Allah na wala huzidiki ili fitna sijku baada ya siku na Allah Yeye ndio Anagawanya daraja, Basi umwamini Allah na Malaika Wake na Kitabu, Vitabu Vake na Mitumi Wake na Al'mahdi Al'Muntadhar na uwache jambo la kugawanya daraja ni ya Allah pekeyake basi wewe sio mwenye kugawanya Rahma Ya Allah. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{أَهُمْ يَقْسِمُونَ رَحْمَتَ رَبِّكَ}
Sadaqa Allah Al’3adhim:[Al-Zukhruf/32].
Hasbi Allah Wa Neema Alwakil..
حسبي الله ونعم الوكيل.
Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____