Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
13 - ربيع الآخر - 1445 هـ
28 - 10 - 2023 مـ
06:56 صباحًا
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)
___________



لا يَزالُ يَومُ السَّبْتِ (السَّابعِ من أكتوبر) يَومَ نَحْسٍ مُستَمرٍّ عَلى شَيَاطِينِ البَشَرِ بإذن الله الوَاحدِ القَهَّار..
Jumamosi (tarehe saba Oktoba) Bado inaendelea kuwa siku ya misiba inayoendelea kwa mashetani wa kibinadamu, Kwa idhini ya Mungu Al’Wahid Al’Qahar..




Bismillah Al’Wahid Al’Qahar Na Sala na Salam Ju Ya Muhammad Mtumi Wa Allah Alio teuliwa Kwa AL’QURAN Al’3adhim; Ujumbe Wa Allah Kwa viumbe viwili vizito (binadamu na majini), Ama Ba’ada Yatakayo fwata...

Jumamosi (tarehe saba ya Oktoba) bado ni siku ya nuksi mbaya inayoendelea, na kutoka kwa ushindi mmoja hadi mwingine, kwa idhini ya Allah Al’Wahid Al’Qahar. MUsifikiri enyi jumuiya ya jeshi la waumini ili kuikomboa Palestina, kwamba muko peke yenu; Hatutaki kuwafitini, na mujuwe kwamba ushindi unatoka kwa Mungu. Na jueni kwa yakini kwamba Mwenyezi Mungu akikunusuruni, hakuna kushindwa kwenu hata yakikusanyika majeshi yote ya mashetani, isipokuwa Mwenyezi Mungu yu pamoja nanyi, Yeye ndiye Mola wenu. Neema Almawula Wa Neema Alnasir, Musiwe wanyonge basi musirege mukaitisha suluhu wakati nyinyi ni bora.
Na kumbukeni kauli Ya Allah Ta3ala:
{الَّذِينَ كَفَرُوا وَصَدُّوا عَن سَبِيلِ اللَّهِ أَضَلَّ أَعْمَالَهُمْ ‎﴿١﴾‏ وَالَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ وَآمَنُوا بِمَا نُزِّلَ عَلَىٰ مُحَمَّدٍ وَهُوَ الْحَقُّ مِن رَّبِّهِمْ ۙ كَفَّرَ عَنْهُمْ سَيِّئَاتِهِمْ وَأَصْلَحَ بَالَهُمْ ‎﴿٢﴾‏ ذَٰلِكَ بِأَنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا اتَّبَعُوا الْبَاطِلَ وَأَنَّ الَّذِينَ آمَنُوا اتَّبَعُوا الْحَقَّ مِن رَّبِّهِمْ ۚ كَذَٰلِكَ يَضْرِبُ اللَّهُ لِلنَّاسِ أَمْثَالَهُمْ ‎﴿٣﴾‏ فَإِذَا لَقِيتُمُ الَّذِينَ كَفَرُوا فَضَرْبَ الرِّقَابِ حَتَّىٰ إِذَا أَثْخَنتُمُوهُمْ فَشُدُّوا الْوَثَاقَ فَإِمَّا مَنًّا بَعْدُ وَإِمَّا فِدَاءً حَتَّىٰ تَضَعَ الْحَرْبُ أَوْزَارَهَا ۚ ذَٰلِكَ وَلَوْ يَشَاءُ اللَّهُ لَانتَصَرَ مِنْهُمْ وَلَٰكِن لِّيَبْلُوَ بَعْضَكُم بِبَعْضٍ ۗ وَالَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَلَن يُضِلَّ أَعْمَالَهُمْ ‎﴿٤﴾‏ سَيَهْدِيهِمْ وَيُصْلِحُ بَالَهُمْ ‎﴿٥﴾‏ وَيُدْخِلُهُمُ الْجَنَّةَ عَرَّفَهَا لَهُمْ ‎﴿٦﴾‏ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ ‎﴿٧﴾‏ وَالَّذِينَ كَفَرُوا فَتَعْسًا لَّهُمْ وَأَضَلَّ أَعْمَالَهُمْ ‎﴿٨﴾‏ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ كَرِهُوا مَا أَنزَلَ اللَّهُ فَأَحْبَطَ أَعْمَالَهُمْ ‎﴿٩﴾‏ ۞ أَفَلَمْ يَسِيرُوا فِي الْأَرْضِ فَيَنظُرُوا كَيْفَ كَانَ عَاقِبَةُ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ ۚ دَمَّرَ اللَّهُ عَلَيْهِمْ ۖ وَلِلْكَافِرِينَ أَمْثَالُهَا ‎﴿١٠﴾‏ ذَٰلِكَ بِأَنَّ اللَّهَ مَوْلَى الَّذِينَ آمَنُوا وَأَنَّ الْكَافِرِينَ لَا مَوْلَىٰ لَهُمْ ‎﴿١١﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: Sura:[Muhammad:1/2/3/4/5/6/7/8/9/10/11]
Basi Musiwe wanyonge na musirege mukaitisha suluhu wakati nyinyi ni bora; Ahadi ya Mungu: Mungu hakhalifu ahadi yake.

Na mutaona maajabu ya ushindi wa Mungu ambayo hamkutarajia sio nyinyi wala madui zenu. Mungu ni Mweza juu ya kila kitu, Basi haraka Mungu atawashinda, na watawapa mngongo wao kutoroka madamu nyinyi mutabaki kwa maagizo ya Khalifa wa Mungu, Imam al-Mahdi, Nasser Muhammad al-Yamani, Kama tulivyokuahidi chini ya masaa 24 baada ya kuanza kwa vita, ninyi ni washindi na kwamba Hakika mutawaghalibu. Mungu hatavunja ahadi yake na Khalifa wake, Sharti mradi tu mutii yale ambayo tumekuamuruni: Hakuna amani na maduwi watesi, walezi wa mashetani, na bado wanasisitiza juu ya uchokozi na kuchukua ardhi yenu. Chungeni wasiwahadae Wakudanganyeni, kwa kuwa wanavunja ahadi na kugeuka viapo Hakuna agano na Mungu na Khalifa wake; Namaanisha wauwaji makatili wa watoto, wanawake na watu walio katika mazingira magumu huko Palestina. Na mashahidi wanafurahi, Bali, Walio majuruhi na kukatika viungo vya mwili ni mtihani na majaribio kwa viongozi wa Kiislamu walio hai, majeshi yao, na watu wao.

Eee Kwa hakika, mateso ya jinai za Wazayuni dhidi ya raia madhulumu wa Ghaza, wasio na ulinzi dhidi ya silaha, ni mateso kutoka kwa Mwenyezi Mungu hadi kwenye dhamiri ya kila mwanadamu aliye hai katika Waarabu na katika mataifa ya watu wote wasio Waarabu,
Wazayuni hawakuthubutu kukabiliana na watu wa upinzani kutoka Jeshi la Waumini ili kuikomboa Palestina, na kisha wakaenda kuwaua raia dhaifu na masikini wa Gaza tukufu, wasio na ulinzi wa silaha, kuua watoto, wanawake na wanaume dhaifu waliofanya hivyo. hawakupigana nao na wakajituliza majumbani mwao. Mashetani wa Kizayuni hawakuwaombea, kwani hivi ndivyo mashetani wa kibinadamu walivyo kwa tabia yao asili. Ni wahalifu wanaoua watoto wachanga kwa makusudi na wanajua.

Eee Kwa hakika Wazayuni wa Palestina na wale wanaowaunga mkono kutoka katika dunia wao ndio magaidi katika walimwengu wote wanaoeneza ufisadi duniani. Ni nani huyo anayesema kuwa harakati ya Hamas na watu wa muqawama kwa ajili ya ukombozi wa Palestina ni magaidi?! Yeyote anayesema kuwa wao ni magaidi, laana ya Mungu, malaika na watu wote iko juu yake. Inakuwaje mtu anayetetea ardhi yake na utakatifu wa Mungu awe gaidi?! Haihat Haihat Mbali Mbali Enyi Wazayuni wahalifu, Hakika nyinyi ndio daish ISIS, magaidi (ni utungaji wenu), basi hapa mnawauwa watoto na wanawake kwa dhulma na uadui, ili Mwenyezi Mungu alifanye hili kuwa ni dalili iliyo wazi juu yenu katika mikono ya walimwengu kwamba nyinyi ndio muliunda daish ISIS na kwamba ninyi ni magaidi; Bali, mkuu wa ugaidi katika walimwengu, nyinyi na wale ambao ni maadui wa ubinadamu kama nyinyi ambao Mungu ameondoa kutoka mioyoni mwao sifa tukufu na nzuri za kibinadamu. Kwa hiyo Mungu aliifanya mioyo yao kuwa mgumu kama mawe, au hata kuwa mkatili zaidi, bila kuwa na huruma kwa mtoto, mwanamke, mzee, au dhaifu
. Na nyinyi mnajiona kuwa ni nguvu isiyoshindikana, lakini mimi ndiye mrithi wa Mwenyezi Mungu, Mahdi Nasser Muhammad Al-Yamani, ninawaahidi Mwenyezi Mungu akipenda kuwa nyinyi ndio mutakao qahiriwa.
Na kwamba nyinyi ndio mlioshindwa, na kwamba askari wa Mwenyezi Mungu (watu walio karibu na Al-Aqswa wanaolinda utakatifu wa Mwenyezi Mungu) ndio washindi. Hii ni kwa sababu jeshi la Mungu ni Mola wao, Neema Almawula Wa Neema Al’Nasir. Na nyinyi hamuna Mola bamoja nanyi, Kwa Kua Wali wenu ni Taghuti; Ni kama buibui aliyejenga nyumba, na nyumba dhaifu zaidi ni nyumba ya buibui.


FaWallahi Wa Tallahi Wa Wa Bismillah Al’3adhim
Hawawezi kukusaidieni Si (Amerika, wal Uingereza, wala Ujerumani, wala Macron, Ufaransa). Maadui wa wanadamu wote hawawezi kuwanusuru. Na ninajua na kuelewa ninachosema, Na mtajua kwamba yeyote ambaye Mungu anamsaidia, hakuna wa kumshinda. Wahalifu watajua kwamba mamlaka ni wa Mungu wote, itakavo kua uwezo Wa nguvo zao.

Kwa hivyo shikamaneni na yale tuliyowaamuru kufanya katika taarifa nilio toa ndani ya saa ishirini na nne tangu kuzuka kwa vita siku ya Jumamosi
(tarehe saba Oktoba):

https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=430144

Na mushikamane nayo nukta kwa nukta, na hapo mutaona miujiza ya ushindi wa Mungu katika yale ambayo hamkutarajia sio nyinyi wala Wazayuni wakorofi; Basi aminini Waadi Wa Allah katika Ilio wazi maana yake kitabu chake Al’Quran Al3adhim Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَوْ قَاتَلَكُمُ الَّذِينَ كَفَرُوا لَوَلَّوُا الْأَدْبَارَ ثُمَّ لَا يَجِدُونَ وَلِيًّا وَلَا نَصِيرًا ‎﴿٢٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: Sura:[Al-Fat’hi:22],
Basi timizeni ahadi yenu, na Mwenyezi Mungu atatimiza ahadi yenu, na shikamaneni na neno la uchamungu. (Hapana mungu ila Mwenyezi Mungu peke yake, asiye na mshirika.) Na shikamaneni na kila tulilokuamrisheni (kwa ujumla na kwa makhsusi). Katika yale tuliyokuamrisheni fanyeni wema (katika kuwatendea wema Mayahudi wapenda amani); Bali Ju yenu kwa wadhulumu miongoni mwao, wale wanaopigana nanyi (waswahaba wa Sabato), na ilikuwa ni ahadi iliyotimia. Tunwausia marafiki wenu miongoni mwa watu waaminifu, Waarabu na wasiokuwa Waarabu, hata wakiwa makafiri. Basi wafanyie wema na uwafanyie uadilifu, hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu, basi uwafanyie wema na uwatendee haki, wala Mwenyezi Mungu hakuwalaani makafiri miongoni mwa watu, bali Mwenyezi Mungu amewalaani maadui wa ubinadamu katika warabu na wasiokuwa Waarabu.
Basi shikamaneni na maamrisho ya Khalifa wa Mwenyezi Mungu, Mahdi Nasser Muhammad Al-Yamani, na Mwenyezi Mungu atawafanya kuwa mfano mzuri kwa walimwengu.


Basi muwe miongoni mwa wenye kushukuru, enyi jeshi la waumini, kwa ukombozi wa Palestina, kuendelea na jihadi ya kuikomboa nchi kutoka kwa wale wenye ufisadi mkubwa katika Ardhi Tukufu. Na shikamaneni na neno la uchamungu (ushindi au kifo cha imani ushahidi), Na Mutamani ushindi ni bora kwenu mbele ya Mungu kuliko kutamani kifo cha kishahidi. Na jueni kuwa mimi ni khalifa wa Mwenyezi Mungu, Mahdi Nasser Muhammad Al-Yamani, Mwenyezi Mungu atanijaalia nitokeze kwa Sayari ya Saqr juu ya wanaadamu wote.Yeye ndiye Mola bora na Msaidizi bora.

Wacha walimwengu wangoje joto la kiangazi cha Saqr kupanda majira ya baridi ijayo hadi (digrii 151), Na wahalifu watajua,

{وَمَا ظَلَمَهُمُ اللَّهُ وَلَٰكِن كَانُوا أَنفُسَهُمْ يَظْلِمُونَ ‎﴿٣٣﴾}
[Al-Nahl].

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Khalifa Wa Allah Al’Imam Al’Mahdi; Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخُوكم خليفة الله الإمام المهديّ؛ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ.
_________



======== اقتباس =========

اقتباس المشاركة 432560 من موضوع فَتوى الإمام المَهديّ في حَركة حَماس ..

- 4 -
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
13 - ربيع الآخر - 1445 هـ
28 - 10 - 2023 مـ
06:56 صباحًا
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)

[لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=432449
___________


لا يَزالُ يَومُ السَّبْتِ (السَّابعِ من أكتوبر) يَومَ نَحْسٍ مُستَمرٍّ عَلى شَيَاطِينِ البَشَرِ بإذن الله الوَاحدِ القَهَّار ..


بِسْم الله الوَاحدِ القَهَّار والصَّلاة والسَّلام على مُحَمَّدٍ رسول الله المُختار بالقرآن العظيم؛ رِسالة الله إلى الثَّقَلين (الإنس والجان)، ثُمَّ أمَّا بَعْد..

فلا يَزال يَومُ السَّبت (السَّابع من أكتوبر) يوم نَحْسٍ مُستَمِرٍّ، ومِن نصرٍ إلى نصرٍ بإذن الله الواحِد القَهَّار، فلا تظنوا يا معشَر جَيْش المؤمنين لتحرير فلسطين أنَّكم لوحدكم؛ ولا نُريد فتنتكم، واعلموا أنما النَّصر مِن عِنْد الله، واعلموا عِلْم اليَقين أنَّه إنْ يَنصركم الله فلا غالِب لَكُم لو اجتمعت كافّة جيوش شياطين البشر غير أنَّ معكم الله هو مَولاكم؛ نِعْمَ المَولى ونِعْمَ النَّصير، فلا تَهِنوا وتدعُوا إلى السَّلْمِ وأنتم الأعلَون، وتَذَّكروا قَول الله تعالى: {الَّذِينَ كَفَرُوا وَصَدُّوا عَن سَبِيلِ اللَّهِ أَضَلَّ أَعْمَالَهُمْ ‎﴿١﴾‏ وَالَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ وَآمَنُوا بِمَا نُزِّلَ عَلَىٰ مُحَمَّدٍ وَهُوَ الْحَقُّ مِن رَّبِّهِمْ ۙ كَفَّرَ عَنْهُمْ سَيِّئَاتِهِمْ وَأَصْلَحَ بَالَهُمْ ‎﴿٢﴾‏ ذَٰلِكَ بِأَنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا اتَّبَعُوا الْبَاطِلَ وَأَنَّ الَّذِينَ آمَنُوا اتَّبَعُوا الْحَقَّ مِن رَّبِّهِمْ ۚ كَذَٰلِكَ يَضْرِبُ اللَّهُ لِلنَّاسِ أَمْثَالَهُمْ ‎﴿٣﴾‏ فَإِذَا لَقِيتُمُ الَّذِينَ كَفَرُوا فَضَرْبَ الرِّقَابِ حَتَّىٰ إِذَا أَثْخَنتُمُوهُمْ فَشُدُّوا الْوَثَاقَ فَإِمَّا مَنًّا بَعْدُ وَإِمَّا فِدَاءً حَتَّىٰ تَضَعَ الْحَرْبُ أَوْزَارَهَا ۚ ذَٰلِكَ وَلَوْ يَشَاءُ اللَّهُ لَانتَصَرَ مِنْهُمْ وَلَٰكِن لِّيَبْلُوَ بَعْضَكُم بِبَعْضٍ ۗ وَالَّذِينَ قُتِلُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَلَن يُضِلَّ أَعْمَالَهُمْ ‎﴿٤﴾‏ سَيَهْدِيهِمْ وَيُصْلِحُ بَالَهُمْ ‎﴿٥﴾‏ وَيُدْخِلُهُمُ الْجَنَّةَ عَرَّفَهَا لَهُمْ ‎﴿٦﴾‏ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِن تَنصُرُوا اللَّهَ يَنصُرْكُمْ وَيُثَبِّتْ أَقْدَامَكُمْ ‎﴿٧﴾‏ وَالَّذِينَ كَفَرُوا فَتَعْسًا لَّهُمْ وَأَضَلَّ أَعْمَالَهُمْ ‎﴿٨﴾‏ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمْ كَرِهُوا مَا أَنزَلَ اللَّهُ فَأَحْبَطَ أَعْمَالَهُمْ ‎﴿٩﴾‏ ۞ أَفَلَمْ يَسِيرُوا فِي الْأَرْضِ فَيَنظُرُوا كَيْفَ كَانَ عَاقِبَةُ الَّذِينَ مِن قَبْلِهِمْ ۚ دَمَّرَ اللَّهُ عَلَيْهِمْ ۖ وَلِلْكَافِرِينَ أَمْثَالُهَا ‎﴿١٠﴾‏ ذَٰلِكَ بِأَنَّ اللَّهَ مَوْلَى الَّذِينَ آمَنُوا وَأَنَّ الْكَافِرِينَ لَا مَوْلَىٰ لَهُمْ ‎﴿١١﴾‏} صَدق الله العظيم [سورة محمد]؛ فلا تَهِنوا وتَدعُوا إلى السَّلْم وأنتم الأعلَون؛ وَعْد الله إنَّ الله لا يُخلِف المِيعاد.

ولسوف تَرَون مِن عجائب نَصْر الله ما لم تَكونوا تَحتَسِبون لا أنتم ولا أعداؤكم، إنَّ الله على كُلِّ شَيءٍ قَديرٍ، فَسُرعان ما يهزمهم الله فَيُوَلّونكم الأدبار ما دُمتم مُلتَزمين بأوامر خليفة الله الإمام المَهديّ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ، فكما وعدناكم بَعدَ أقلّ مِن 24 ساعة مِن بَدْءِ الحَرب أنَّكُم أنتم المُنتَصِرون وأنَّكم أنتم الغالِبون، فَلن يُخلِف الله وعده وخليفته بشرط أن تلتزموا بما أمرناكم به: فلا سَلام مع المُعتَدين أولياء الشياطين وهُم لا يزالون مُصِرِّين على العدوان واحتلال أرضكم، فإيَّاكم أن يخدعوكم فإنهم يُخلِفون الوعود وينكثون العهود فلا عَهْد لهم عند الله وخليفته؛ وأقصِد قَتَلَة الأطفال والنِّساء والمُستَضعَفين في فلسطين. والشُّهداء سُعداء، وإنما الأشلاء تَمحيصٌ وابتلاءٌ للأحياء مِن قادة المُسلِمين وجيوشهم وشعوبهم.

ألا وإنَّ ابتلاء جرائم الصَّهاينة في المُستَضعَفين المواطنين في غَزَّة العُزَّل مِن السِّلاح هو بلاءٌ مِن الله لضمير كُلِّ إنسانٍ حَيٍّ في العَرَب وفي شعوب الأعاجِم أجمَعين، ولم يجرؤ الصَّهاينة على مُواجهة رجال المُقاومة مِن جيش المؤمنين لتحرير فلسطين ثم يذهَبون لقتْل الضُّعفاء والمَساكين مِن مواطني غَزَّة المُكرَّمة العُزَّل مِن السِّلاح فيقتلون الأطفال والنِّساء والمُستَضعَفين مِن الرِّجال الذين لم يقاتلوهم وملتزمون ديارهم، فلم يشفع لهم عند شياطين البشر من الصَّهاينة فهكذا هم شياطين البشر بطبيعتهم؛ يكونون مجرمين فيقتلون الأطفال الرُّضَّع عَمْدًا وعدوانًا.

ألا إنَّ الصَّهاينة في فلسطين ومَن ناصرهم مِن العالَمين هُم الإرهابيِّون في العالمين المُفسِدون في الأرض، فمن ذا الذي يقول أنَّ حَرَكة حماس ورجال المقاومة لتحرير فلسطين إرهابيِّون؟! فَمَن يقول أنَّهُم إرهابيِّون فإنَّ عليه لعنة الله والملائكة والنَّاس أجمعين، فكيف يكون إرهابيًّا مَن يُدافِع عن أرضه ومُقَدَّسات الله؟! هيهات هيهات يا معشَر المُجرِمين مِن الصَّهاينة، ألا إنّكم أنتم داعش الإرهابيون (مِن صُنعكم)، فها أنتم تقتلون الأطفال والنِّساء ظُلمًا وعدوانًا ليجعل الله ذلك عليكم بُرهانًا مُبينًا بين يدَي العالَمين أنَّكم أنتم مَن صَنَع داعش وأنكم أنتم الإرهابيون؛ بل رأس الإرهاب في العالَمين، أنتم ومَن كان مِن أعداء الإنسانيَّة أمثالكم الذين نزع الله مِن قلوبهم الصِّفات الإنسانيّة النَّبيلة والجميلة، فجعل الله قلوبهم غُلفًا كالحِجارة أو أشَدّ قَسوةً لا يَرحَمون طِفلًا ولا امرأةً ولا مُسِنًّا ولا مُستَضعَفًا، وتَظَنًّون أنفسكم القُوَّة التي لا تُقهَر، ولكني خليفة الله المهديّ ناصر محمد اليمانيّ أعدكم بإذن الله أنكم أنتم المقهورون، وأنكم أنتم المهزومون، وأنَّ جُنْد الله (رجالٌ حول الأقصى المُدافِعين على مُقَدَّسات الله) لَهُم الغالِبون، ذلك بأنَّ جُنْد الله مولاهم الله نِعْمَ المَولَى ونِعْمَ النَّصير، وأنتم لا مَولَى لَكُم، كون وليّكُم الطَّاغوت؛ كمثل العَنكبوت اتَّخذت بيتًا وإنَّ أوهَن البيوت لبيت العنكبوت.

فوالله وتالله وبالله العَظيم لا يستطيعون نَصركم (أمريكا ولا بريطانيا ولا ألمانيا ولا ماكرون؛ فرنسا)، ولا يستطيع نُصرَتكم أعداءُ الإنسانيَّة أجمَعين، وأعلَم وأعي ما أقول، ولسوف تعلمون أنَّ مَن ينصره الله فلا غالِب له، ولسوف يعلم المُجرمون أن القوَّة لله جميعًا مَهما كانت قُوَّاتهم.

فالتزموا بِما أمرناكم بِه في البيان الذي صدر في خلال أربَع وعشرين ساعة مُنذ اندلاع حَرْب السَّبت (السَّابِع مِن أكتوبر):
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=430144

وتمسَّكوا به نُقطَة نُقطَة فَمِن ثم ترون عَجائب نصر الله بما لم تكونوا تحتَسِبون أنتم ولا الصَّهاينة المُعتَدون
؛ فَصَدِّقوا وَعْد الله في مُحكَم كتابه القرآن العظيم في قول الله تعالى: {وَلَوْ قَاتَلَكُمُ الَّذِينَ كَفَرُوا لَوَلَّوُا الْأَدْبَارَ ثُمَّ لَا يَجِدُونَ وَلِيًّا وَلَا نَصِيرًا ‎﴿٢٢﴾‏} صدق الله العظيم [سورة الفتح]، فأوفوا بعهد الله يوفِ بعهدكم، والتزموا بكَلِمة التَّقوى: (لا إله إلا الله وحده لا شريك له)، والتزموا بِكُلِّ ما وصَّيناكم به (عامًّا وخاصًّا)، والتزموا بما وَصَّيناكم به خيرًا (في معاملة اليهود المُسالِمين خيرًا)؛ بل عليكم بالمُعتَدِين مِنهم الذين يقاتلونكم منهم (مِن أصحاب السبت) وكان وعدًا مَفعولًا، ونستَوصيكم بأوليائكم مِن أصحاب الإنسانيَّة الصَّادقين في العَرَب والعَجَم حتى وإن كانوا كافرين، فبرّوهم وأقسطوا إليهم إنَّ الله يُحِب المُقسِطين، فبرّوهم وأقسِطوا إليهم، وما لعَن الله الكُفَّار مِن أصحاب الإنسانية بل لعَن الله أعداء الإنسانية في الأعاجِم والعَرَب، فاعتصموا بأوامِر خليفة الله المَهديّ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ فيجعلكم الله أسوةً حَسنةً للعالَمين.

فكونوا مِن الشاكرين يا جَيش المُؤمنين لتحرير فلسطين مُستَمِرِّين في الجهاد في تحرير البلاد من أصحاب الفَساد الأكبَر في الأرض المُبارَكة، والزَموا كَلِمة التَّقوى (نصرٌ أو استشهادٌ)، وتمَنّوا النَّصر خيرٌ عند الله لكم مِن تمَنّي الشَّهادة، واعلموا أنّي خليفة الله المهديّ ناصر محمد اليمانيّ سوف يُظهرني الله بكوكب سَقَر على كافَّة البشر نِعم المولى ونِعم النَّصير.

فلينتَظِر العالَمين رفع حرارة صَيْف سَقَر في الشتاء القادم إلى (151 درجة)، ولسوف يعلم المجرمون، {وَمَا ظَلَمَهُمُ اللَّهُ وَلَٰكِن كَانُوا أَنفُسَهُمْ يَظْلِمُونَ ‎﴿٣٣﴾} [سورة النحل].

وسلامٌ على المُرسَلين والحمدُ لله ربِّ العَالَمين..
أخُوكم خليفة الله الإمام المهديّ؛ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ.
_________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..