-51 -
Al’Ima Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
01 - ربيع الأوّل - 1444 هـ
27 - 09 - 2022 مـ
11:39 صباحًا
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Mama Wa Vijiji)
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)

[ لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=397472

______

_Hakika Atakae Ona Allah kua haiwezekani kabisa kwa moyo wake kwamba ataridhika mpaka ingie furaha katika Nafsi Ya Arahman basi hakika yeye mapenzi yake kwa Allah ni makubwa kabisa, Basi hatokua mnyonge wala kuskitika mpaka siku watu watakapo simama kwa Mola Mlezi wa ulimwengu, Na tosha Allah kua shahidi kwa yaliomo myoyoni mwa kaumu Anawapenda Allah na wanampenda pamoja ya kufanyika alama zote basi hakika wao hawzingojei..

فمن كان يجدُ أنّ الله شديدُ المِحال في قلبه أن يرضى حتى يحل الرضوانُ في نفس الرحمن فهو أشدّ حبًّا لله، فلنْ يهنَ ولنْ يستكينَ إلى يومِ يقومُ الناسُ لربّ العالمين، وكفى بالله شهيدًا بما في قلوب قوم يحبّهُمُ الله ويحبّونه رغم تحقيق الآيات أجمعين فإنّهم لا ينتظرون لها..


Salam Za Allah Ju Yenu Na Rahma Zake Na Baraka Kutoka Kwake Na Neema Ya “Ridhwanuhu” Furaha Yake Enyi Jami ya Kaumu (Anawapenda Allah Na Wanampenda Haina Mwisho)..


Ajili ya hivo nasisitiza kwa mara milioni kwa kweli moyo wao inakata kuridhika mpaka iridhike Nafsi ya Mola Mlezi wao; Ambae ni zaidi mapenzi ya Allah ndani ya moyo wao, Na hi inamanisha yule atakae jadiliana na wao hatimai watakuta kuna uhakika wa ukweli umekita kuhusu jambo la Allah; Kwakuwa wao wame mabudu Allah pekeyake hana mshirika nae na wamomba Allah pekeyake hana mshirika nae kwa dhati na ni yake dini, Na wakashindana kwa kumpenda Allah na kua karibu nae mpaka ikawajia yakini kwa roho ya “Ridhwan Allah”” Furaha ya Allah” ju yao ndani ya moyo wao, Wakapata furaha yao na neema ya moyo wao ni “Ridhwan Allah”” Furaha Ya Allah” Na Upendo wake na kufanya bidi kupatikane “Ridhwan Alla” “Furaha Ya Allah” Kwenye Nafsi Yake, Basi walimwengu wote watawaona kua Allah kweli haiwezekani ndani ya moyo wao kua waridhike mpaka ingie furaha ya Allah “Ridhwan Allah” ndani ya nafsi yake badala ya huzuni na maskitiko ambao iko ndani ya nafsi yake kwa sababu ya kaumu wamejuta ju ya yale walio poteza kwa upande wa Mola Mlezi wao, Basi musichoke kukariri alama “aya” ya kuchaji haraka ya moyo wenu, Basi wakati akihisi moja kati ya ma anssar kupungua nuru katika moyo wake zaidi kuliko alivo kua mwanzo basi pekeyake akumbuke hi aya ili atie chaja haraka kwenye kauli ya Allah Ta3ala:
{إِن كَانَتۡ إِلَّا صَيۡحَةٗ وَٰحِدَةٗ فَإِذَا هُمۡ خَٰمِدُونَ (29) يَٰحَسۡرَةً عَلَى ٱلۡعِبَادِۚ مَا يَأۡتِيهِم مِّن رَّسُولٍ إِلَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ (30) أَلَمۡ يَرَوۡاْ كَمۡ أَهۡلَكۡنَا قَبۡلَهُم مِّنَ ٱلۡقُرُونِ أَنَّهُمۡ إِلَيۡهِمۡ لَا يَرۡجِعُونَ (31) وَإِن كُلّٞ لَّمَّا جَمِيعٞ لَّدَيۡنَا مُحۡضَرُونَ (32)}
صدق الله العظيم [يس].

Na hapa zatakasika moyo wao kutakasika na yatimu kupanda ibada yao peke katika nafsi ya Mola Mlezi wao, Na miongoni mwao kabla hajamka kikaoni mwake, Ajili ya hivo wata waona watu kua wao kweli haiwezekani kabisa na kusisitiza vikali sana kua wamwabudu Allah mpaka iridhike nafsi ya Mola Mlezi wao, Na hi yamanisha kwamba Allah haiwezekani kabisa katika moyo wao wabadilishe kubadilisha.

Lakini enyi jami ambao Anawapenda Allah na Wanampenda katika umma hu; Mujuwe njia ambao mume ichukua kutimiza “Ridhwan Allah” “Furaha Ya Allah” Kwenye nafsi yake basi sio kwamba pekeyake imeja na vizuwizi va upotevu kutokana na watu na ma jini peke, Bali hivo hivo upotevu wa umma wengine Amewaumba Allah kwajili ya kuabudu kama nyinyi kuanzia wadogo kuliko uzito wa chembe tu - Mbu wa damu wa ki virusi- na ilio ju zaidi yake katika ma umma, Na Atawafufua kuwakusanya kwake kama nyinyi Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:


{وَمَا مِن دَابَّةٍ فِي الْأَرْضِ وَلَا طَائِرٍ يَطِيرُ بِجَنَاحَيْهِ إِلَّا أُمَمٌ أَمْثَالُكُم ۚ مَّا فَرَّطْنَا فِي الْكِتَابِ مِن شَيْءٍ ۚ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّهِمْ يُحْشَرُونَ ‎﴿٣٨﴾‏ وَالَّذِينَ كَذَّبُوا بِآيَاتِنَا صُمٌّ وَبُكْمٌ فِي الظُّلُمَاتِ ۗ مَن يَشَإِ اللَّهُ يُضْلِلْهُ وَمَن يَشَأْ يَجْعَلْهُ عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ‎﴿٣٩﴾}
صدق الله
العظيم [الأنعام]،

Na Wanajianda Hivi sasa ili kuanzisha mashambilizi mabaya kwa vita va mbinu ya moja kwa moja.
Na nasaha kwa kila mwislamu kwa Mola Mlezi wa ulimwengu kuajiuzulu na kiburi chake na ajikinge ama ajitibu kwa duaa ambao tumeiandika kwa tarehe (26 Ramadhani ya mwaka wa 1441 h)
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=329951


Na hakuchelewa Allah kwenu na suluhisho ya kusmamisha vita va mtingisho ya covid corona ya kiulimwengu, Lakini vifo mwanzo wa jambo sio kutokana na corona; Bali ni kwa sababu ya kutojuwa kwenu na makosa ya ma tabibu wenu, Na imewafikia kadara yao, Lakini musi wadhulumu wengi katika vifo va corona mwanzo wa jambo na haswa katika vita va kiulimwengu va kwanza ya mwaka (2020), Basi wengi wao hawajuwi kwa ulinganizi wangu wa kiulimwengu, Na imefika kadara yao, Basi musiwahukumu kua wao wako motoni huwenda Allah Akawafinika na Rahma yake ispokua anae fanya kiburi kwa ulinganizi wa Khalifa wa Allah Al’mahdi Nasser Muhammad Al’yamani.

Basi musiwe wanyonge wala musiskitike na musubiri na mujisubirishe na mujifunge ju ya ulinganizi wa kiulimwengu ambao ni Rahma kwa ulimwengu ispokua atakae kata Rahma ya Allah musi huzunike kwa watu wahalifu wale ambao wamechukia “Ridhwan Nafs Allah” Furaha Ya Nafsi Ya Allah na wakachukia yale alio teremsha Allah katika ilio wazi maana yake kitabu cha Allah Al’quran Al3adhim akateremsha amali yao ila alio tubu kwa Allah kutubia (Kwa Allah Pekeyake Hana Mshirika Nae) Basi mujuwe kwamba Allah ni mwenye kusamehe Mrahimu, Na mujuwe Allah ni mkali wa kuadhibu kwa yule atakae kata kurudi kwa Mola Mlezi wake ili amsamehe madhambi yake ili amongowe moyo wake kwa sababu ya kiburi chao kutoka kwao wenyewe basi musiwe na huzuni ju ya watu wahalifu, Basi hukumu ni ya Allah mbora wa kufungua na mwepesi wa kuhisabu na mwepesi wa mbinu, Na wataka kuzima nuru ya Allah na Akataa Allah ila atimize nuru yake kwa ulimwengu; Ahdi ya Allah, Hakhalifu Allah ahdi yake lakini wengi wa watu hawajuwi.


Na naruhusu kuwekwa bayana kwa mabayana kwenye mkusanyiko wa ma bayana za nuru ya uongofu kwa walimwengu na hivo hivo udhru kwa Allah na huwenda wakawa wachaji, Basi musiwe wanyonge wala kuskitika enyi ambao “Arabaniyun” Wapendwa wa Mola Mlezi wa Ulimwengu.


Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Al’imam Al’mahdi Nasser Muhammad Al’yamani.
وسَلامٌ على المُرسَلين والحمد لله رب العالمين..
خليفةُ الله الإمام المهديّ ناصر محمّد اليمانيّ.
_____

======== اقتباس =========