Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
22 - محرَّم - 1444 هـ
20 - 08 - 2022 مـ
06:14 صباحًا
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Mama Wa Vijiji)
(بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى)
___


سَأل سائِلٌ فقال
Ameuliza Mulizaje Akasema…

اقتباس المشاركة :
Ameuliza Mulizaje Akasema ..
Suali la ki sharia nataka jibu lake kutoka kwa Al’Imam moja kwa moja ili waitekeleze na wameridhika warithi kutekeleza fatwa ya Al’Imam, Nataraji ufanye umuhimu kufikisha suali kisha watakinai warithi kisha waitekeleze.
Na suali: Mwanamke amekufa kabla ya babake na mamake na ana watoto, Na pia anao ndugu wa kiume na wa kike kutoka kwa baba na mama,
Sasa amekufa baba na wakaanza watoto wake kugawanya urathi alio uwacha na hawakuwapa watoto wa ndugu yao wa kike alio kufa kabla ya babake kudai kua baba ywamrithi mtoto wake wa kike (sudusi ikiwa atakufa kabla yake), Nakariri je wanao watoto wa mtoto wa kike alio kufa kabla ya babake urathi kutokana alicho kiwacha babu yao kutoka kwa mama yao pamoja na wajomba wao.
imeisha Nukulu..
انتهى الاقتباس


Walekom Asalam Wa Rahmatullahi Wa Barakatuhu Wa Naim Ridhwanuhu, Basi Hapa ndio wasia ni ya wajuku katika hali ya kufa mama kabla ya babake kwakua wao sio watoto wake; Bali ni watoto wa mtu mwengine na wao ni “alhafada” wajuku katika kitabu (Watoto wa mtoto wake wa kike), Na ama watoto wa watoto wa kiume basi wao ni watoto wake wa kiume na wanasibika kizazi kwa baba yao na babake baba yao, Mpaka baba yao Adam (Kizazi Kupitia Kizazi) Basi hawo ndio “anasab” Kizazi katika kitabu (Wavlana na wana wa wavlana) Na ama wajuku “alhafada” basi wao ni wana wa wasichana na hawanasibiki kwa babu yao bali wanasibika kwa baba yao kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَاللَّهُ جَعَلَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا وَجَعَلَ لَكُم مِّنْ أَزْوَاجِكُم بَنِينَ وَحَفَدَةً وَرَزَقَكُم مِّنَ الطَّيِّبَاتِ ۚ أَفَبِالْبَاطِلِ يُؤْمِنُونَ وَبِنِعْمَتِ اللَّهِ هُمْ يَكْفُرُونَ ‎﴿٧٢﴾‏} [سورة النحل].


Na ile ilio mghadhibisha Mola Mlezi Wangu na imenighadhibisha katika wana zuoni wa umma kua wao wamefanya wasia ni ya watoto wa kiume wana wa wavlana na ilhali wao wanasibika kwa baba yao; Bali wasia ni ya wana wa shemeji “Sehr” Na wao ndio “Alhafada” Wajuku (Wana wa waschana) Na hawanasibiki kwako Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَهُوَ الَّذِي خَلَقَ مِنَ الْمَاءِ بَشَرًا فَجَعَلَهُ نَسَبًا وَصِهْرًا ۗ وَكَانَ رَبُّكَ قَدِيرًا ‎﴿٥٤﴾} صدق الله العظيم [سورة الفرقان]،
Lakini “Anasab” Wao ni wavlana na wana wa watoto wa kiume, Na ama “Asehr” Basi Anakusudia watoto wa shemeji yako ambao wao ni wajuku “alhafada” katika kitabu na wao ndio wana haki ya wasia kulingana na hali zao za kimaisha pindi mama yao akifa kbla ya babake basi hapa imeandikwa ju ya baba andike wasia mzuri kwa watoto wa mtoto wake wa kike.


Na yale yalio mghadhibisha Allah na kunighadhibisha ni wanazuoni kuwanyima warithi ambao ni “nasab” Kizazi (wale ambao ni wana wa mvlana) Kwa sababu ya kufa baba yao mdogo kabla ya kufa baba yao mku, Na ya Subhana Allah! Hivi si akifa baba yao mdogo itahama majukumu kwa baba yao mkuu na akifa baba yao mkuu itahama majukumu ju ya ma ndugu kwa sharti kuwasmamia matumizi yao kutoka mifuko yao ikiwa ni matajiri na ikiwa sio matajiri bali ni mafakiri hawana uwezo basi wale kwa wema na wawasimamie matumizi yao kwa wema wala sio kwa israfu wazimalize kiubadhirifu kabla hawajawa wakubwa Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَابْتَلُوا الْيَتَامَىٰ حَتَّىٰ إِذَا بَلَغُوا النِّكَاحَ فَإِنْ آنَسْتُم مِّنْهُمْ رُشْدًا فَادْفَعُوا إِلَيْهِمْ أَمْوَالَهُمْ ۖ وَلَا تَأْكُلُوهَا إِسْرَافًا وَبِدَارًا أَن يَكْبَرُوا ۚ وَمَن كَانَ غَنِيًّا فَلْيَسْتَعْفِفْ ۖ وَمَن كَانَ فَقِيرًا فَلْيَأْكُلْ بِالْمَعْرُوفِ ۚ فَإِذَا دَفَعْتُمْ إِلَيْهِمْ أَمْوَالَهُمْ فَأَشْهِدُوا عَلَيْهِمْ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ حَسِيبًا ‎﴿٦﴾}صدق الله العظيم [سورة النساء]؟


Lakini wana wa mtoto wa kike ambao wao ni wajuku “alhafada” Basi yeye ndio atalibeba jukumu la nafaka yao (Baba Yao) Na wala hakubeba Babu yao, Basi hapa ndio yaonekana tafauti kati ya wana wa mvlana na wana wa msichana katika hali ya kifo chake kabla ya babake na anao watoto basi sio yeye mwanamke


anae toa nafaka matumizi ya watoto wake bali anae smamia matumizi na nafaka yao ni baba yao kawenye uhai wake mwanamke na baada kufa kwake ambae ndio “asehr” Shemeji, Na wala sio mfano wao kama mfano wa wana wa mtoto wa kiume na wahisabika ni katika walio karibu basi wanaingia miongoni mwa wasia, Na ikiwa hakuna wasia na wao ni katika ma anssar (pande zote) Basi niko na haki mimi ni wamuru watowe fungu la kumi, Na Amsamehe Allah Baba Yao.


Na Salam Ju Ya Mitume Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Khalifa Wa Allah Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المُرسَلين والحمدُ لله رَبِّ العالمين..
أخوكم خليفةُ الله المهديّ ناصر محمد اليمانيّ.
__


======== اقتباس =========