Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
05 - رمضان - 1441 هـ
28 - 04 - 2020 مـ
11:10 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=327940

____

تذكيرٌ أخيرٌ لكافّة البشر أنّ الشمس أدركت القمر ليهلِك من هلك عن بيّنة ويحيى من حيَّ عن بيّنة..

Ukumbusho Wa Mwisho Kwa Wote Wanadamu Kwamba Jua Limefikilia Mwezi Ili Angamie Mwenye Kuangamia Kwa Uwazi Na Ahuyike Mwenye Kuhuyika Kwa Uwazi



Bismillah Al'Rahaman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Mitume Wote Wa Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu Kutoka Wa Kwanza Mpaka Wa Mwisho Wao Muhammad Mtume Wa Allah Na Walio Wafwata Katika Waumini Katika Wa Kwanza Na Wa Mwisho Na Katika Anga Ju Mpaka Siku Watakapo Simama Watu Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Hatutafautishi Baina Yoyote Katika Mitume Na Sisi Kwake Ni Waislamu, Ama Baada Ya Hapo.


Na enye ma3ashara ya wanadamu mwislamu miongoni mwao na kafiri, Hakika mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Khalifa Wa Allah Ju Walimwengu wote, Kiasi gani nimewaonya muda wa miyaka kumi na tano kwamba jua limefikilia mwezi ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf Eclipse ikakutana nayo jua nayo ni mwandamo onyo kwa watu na kusadikisha sharti katika masharti ya saa kuu na aya ya kusadikisha Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani kwa anae taka katika binadamu atangulie ndio afwate ukumbusho Al'Quran Al3adhim ndio amtii Khalifa wa Allah na mja wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad ama achelewe kusadikisha kwa Al'Quran Al3adhim amaasi Allah na Mtume Wake akatae kumtiii Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani mpaka Allah Amguse kwa adhabu mbaya na laana ya Allah ju ya warongo.


Na huwenda kutaka wana sayansi wa Fizikia wote miongoni mwa watu wote warabu na wa ejemi kusema: Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani hakika umetujadili na ukazidisha mjadala na sisi miyaka na wewe wasema: Enyi watu hakika jua limefikilia mwezi ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf Eclipse ikakutana nae jua nayo ni mwandamo tukakukanusha sisi wote wanasayansi wa kifalaki katika binadamu warabu na waejemi kwa jumla, Na huyo hapo wewe watutangazia tena kwa ukumbusho wa mwisho kwa yule atakae katika binadamu atangulie ndio afwate mlinganizi wa Allah ama achelewe mpaka Allah Al'Wahid Al'Qahar Amguse kwa adhabu mbaya kulingana na madai yako kwamba wewe ni Khalifa wa Allah Al'Mahdi Ambae Amekuteua Allah Khalifa katika ardhi ju ya mataifa yote ya ulimwengu kulingana na madai yako ewe Nasser Muhammad, Je wewe ni mwanachuoni wa dini ama mwanasayanai wa kifisikia ya falaki? Na ewe mwanamume basi kuhusu masaala ya kifikihi katika dini ya Allah basi inawahusu ma fadhila ya wanazuoni wa dini, Na ama mambo ya kifizikia ya falaki basi yawahusu kila wanasayansi wa kigizikia ya kifalaki kwa harakati ya jua na mwezi katika wote wanasayansi wa falaki katika wanadamu mwislamu wao ama kafiri, Basi hakuna khitilafu baina yetu sisi wanasayasi wa kifizikia ya kifalaki haswa katika kushikana jua kwa mwezi almahak katika mwisho wa mwezi, Basi huipati baina yetu kuhadidisha kushikana kituoni kwa jua na mwezi ambao ni mahak ambao umepotea mwangaza wa mwezi ulio pita; Ndio utakuta wanasayansi wote wa falaki katika wanadamu tunahadidisha usiku wa kushikana kituoni kwa jua na mwezi mwisho wa mwezu; Basi hutupati twakhitilifiana sote wanasayansi katika binadamu hata kwa nukta moja kwakua kushikana kituoni kwa jua na mwezi inakua katika tokeo la kiulimwengu, Na je unaamini kwa yale tulio nayo katika ilimu ya zama za kifizikia ya falaki kwa harkati ya jua na mwezi na ardhi? Kisha Anarudisha jibu kwenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ambae Allah Amempa ilimu ya kitabu Al'Quran Al3adhim na nasema: Musikubali kutoka kwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ikiwa mutanipata najadiliana na nyinyi kwa utawala wa ilimu ya vijitabu venu bali kutoka kwa ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim na kila moja wenu nitazungumza nae kutoka kwa Al'Quran kwenye sekta yake ya ilimu ambao anahusika nayo.


Na enyi wansayansi wa falaki, Hakika ya msingi wa ulimwengu kifalaki katika muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhi


m kwa vituo va mwezi iko wazi katika Al'Quran Al3adhim kabla hamujapata ilimu nayo, Na Allah Ta3ala Asema:
{ Na usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana, mara wao wanakuwa gizani (37) Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.(38) Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe (39) Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku kuupita mchana. Na vyote vinaogelea katika njia zao (40)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yasin].

{ وَآيَةٌ لَّهُمُ اللَّيْلُ نَسْلَخُ مِنْهُ النَّهَارَ فَإِذَا هُم مُّظْلِمُونَ ﴿٣٧﴾ وَالشَّمْسُ تَجْرِي لِمُسْتَقَرٍّ لَّهَا ۚ ذَٰلِكَ تَقْدِيرُ الْعَزِيزِ الْعَلِيمِ ﴿٣٨﴾ وَالْقَمَرَ قَدَّرْنَاهُ مَنَازِلَ حَتَّىٰ عَادَ كَالْعُرْجُونِ الْقَدِيمِ ﴿٣٩﴾ لَا الشَّمْسُ يَنبَغِي لَهَا أَن تُدْرِكَ الْقَمَرَ وَلَا اللَّيْلُ سَابِقُ النَّهَارِ ۚ وَكُلٌّ فِي فَلَكٍ يَسْبَحُونَ ﴿٤٠﴾ }صدق الله العظيم [40:يس].


Na kwa Bayana ya haki hakika sisemi ju ya Allah ispokua haki: Ama kuhusu Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Na usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana, mara wao wanakuwa gizani (37)
{ وَآيَةٌ لَّهُمُ اللَّيْلُ نَسْلَخُ مِنْهُ النَّهَارَ فَإِذَا هُم مُّظْلِمُونَ ﴿٣٧﴾
Kuuvua ni mwisho wa kumalizika basi napata hisabu katika kitabu kua inaanza kuzama jua mara wao wanakua gizani baada kuzama jua kwao, Basi kutoka kuzama jua mpaka kuzama jua ni siku moja, Na kuhusu vituo va miandamo inaanza kituo cha mwezi kwenye kuona mwandamo baada kuzama jua kwasababu ya kuona mwandamo wa mwezi wa kwanza kama mfano usiku wa funga kwa sababu ya kuachana kwake na jua mashariki mwa jua ndio inaanza vituo va miandamo ya kuonekana baada ya kuzama jua inalekea mwezi mashariki inawacha jua nyuma yake nao unakwenda upande wa mashariki na jua linakwenda nyuma yake kwa utaratibu na mwezi unakua mbali nae zaidi na zaidi mpaka ifike kwenye nukta ya mashariki na jua inakabiliana nae katika nukta ya magharibi ndio inakua mwezi kamili badr inatokezea upande wa mashariki wakati wa kuzama jua ju upande wa magharibi ndio unakua kamili kikamilifu ya kwanza jioni ya siku ya kumi na inne usiku wa kumi na tano na inaendela mwezi kua kamili kuanzia usiku wa kumi na tano mpaka kumalizika usiku wa kumi na sita na zinaitwa siku nyeupe kwakua mwezi kua kamili badr bado unazali kuonekana kwa jicho la kawaida, Na wakati ikiwa kufikiwa pakubwa masiku tatu basi inakua masiku ya mwezi kua kamili badr basi siku tatu utakua mwezi kamili kwa jicho la kawaida kisha inaanza kupungua kuanzia usiku wa kumi na saba ndio uzunguke kurudi upande wa jua ndio urudi kama karara kongwe ndio ikutane na jua katika mahak ambao ni giza baada kumaliza miandamo ya mwezi ulio pita ndio ikutane Diski ya jua na mwezi nayo iko gizani Diski yake kutokana na mwangaza giza kabisa, Na Anaita Allah Katika ilio wazi maana yake (Alarjun Alqadim) karara kongwe kabla ya vituo va miandamo ya mwezi ulio malizika, Na hivi hivo kutoka Siku Alipo Umba Allah Mbingu na Ardhi ni hivo hivo harakati ya falaki ya jua na mwezi, Halitakiwi jua kufikia mwezi ndio izaliwe mwandamo Na jua kwa upande wa mashariki nae wala usiku kupita mchana ndio iewe mbele yake mashariki ndio iwe mashariki ni magharibi na magharibi ni mashariki kwa sababu kwenda kinyume mzunguko wa ardhi, Basi badala izunguke kutoka magharibi iende mashariki itaenda kuzunguka kutoka mashariki inalekea maghribi, Basi hapa inakua kinyume ndio inakua mashariki ni magharibi na magharibi ni mashariki; Yani sisi tutaliona jua linapambazuka upande wa magharibi na linazama upande wa mashariki.


Na enye wapendwa wangu kwa Allah wale ambao wanakanusha harakati ya ardhi, Wallahi Ambae Hapana Mola ispokua Yeye kama Atasmamisha Allah Ardhi yenu kutozunguka basi ingebaki upande katika ulimwengu mbele ya jua katika mchana wakuendelea mpaka siku ya kiyama na upande mwengine wa ulimwengu katika usiku wa kuendelea mpaka siku ya kiyama, Basi musizuwie wanadamu kutofwata ukuombusho kwa ujinga wenu kwakua wao watadhania kwamba Qurani yenu ya kiarabu inasema kua ardhi imekita haizunguki, Bali munadhani imesimama nayo inapitisha mawingu yanaotembea angani, Mungu Amefanya Ambae Amedhibiti kisawa sawa kila kitu Subahanahu Amet


ukuka kwa yale munayo yasema ju Yake bila ya haki ndio munazuwia binadamu kuamini Al'Quran Al3adhim Kuzuwia pakubwa kwasababu ya ujinga ya wakanushaji wa mzunguko wa ardhi kwa nafsi yake kila masa shirini na inne, Hivi hamuwi wachaji? Basi musiseme ju ya Allah Musokijuwa.


Basi sitaki nirefushe kwenu hi Bayana, Hakika tumewandikia nyinyi Ma Bayana nyengi katika Bayana ya Al'Quran kwa Al'Quran na tukaifafanua Qurani kwa Qurani ufafanuzi na nawaletea kwa ma aya zakubainisha ma aya zingine na kwenye maudhui hio hio, Na naapa Qasam kwa Allah Al3adhim haikupitikiwa katika mawazo yangu kua mimi nitakua mwenye kujua Bayana ya haki ya Al'Quran Basi hanijadili mwanachuoni kwa Al'Quran ispokua nitamshinda kwa utawala wa ilimu inao nyamazisha kwa kila mwenye akili! Bali kila mwenye kubaleghe Qurani baini kwakua nayo ni Bayana Ya Al'Quran kwa Al'Quran na tukaifafanua kwa idhini ya Allah ufafanuzi kwa yule anae taka kuongoka katika njia za amani baina ya binadamu na nduguyake binadamu na tutamongoza kwa njia za Al'Ridhwan kwa Al'Rahman; Huyo kwenu ni Al'Imam Al'Mahdi Ambae Ni Mtu amefundishwa na Allah Bayana kamili ya Al'Quran; Huyo Kwenu Ni mwenye ilimu ya kitabu Amemfundisha Alie Mteuwa Allah Khalifa Wake ju ya ulimwengu.


Na tunarudi kwa aya ya kufikiliw Ya kiulimwengu ya jua na mwezi, Basi ulizeni enye ma3ashara ya wanadamu lini umerudu mwezi wa shaabani ilio pita katika karara kongwe? Basi watawamibia nyinyi nyote kwa ulimi moja kwa pamoja: Umerudi kwenye saa nane na dakika shirini na sita baada nusu ya usiku wa alhamisi; Yani sa kuminamoja na dakika shirini na sita alfajiri ya alhamisi kwa wakati wa maka almukarama, Kisha mutawambia wao; Je si hivo ndio mwezi karara kongwe ambao unekua giza umekosa mwangaza kabisa kulingana na ilimu yenu ya kifalaki sahihi hawakhitilifiani nayo wawili katika binadamu, Lakini Nasser Muhammad Al'Yamani ametangaza kabla kwamba jua limefikilia mwezi aya ya kiulimwengu ya kusadikisha kwa jambo lake kua yeye ndio Khalifa wa Allah ju ya ulimwengu, Na amesema kwenye Bayana kabla hi kua mwandamo wa ramadhani hi 1441 umekua gizani asbuhi ya jumatano kisha ukazaliwa na jua upande wa mashariki yake ukazama wakati wa kuzama jua la juma tano usiku wa alhamisi nayo ni mwandamo wa ramadhani mwanzo wa mwezi wala sio mwesho wa mwezi ndio ikakutana nae jua alfajiri ya alhamsi na tayari nao ni mwandamo; Yani usiku wa alhamisi ni usiku moja wakwanza wa ramadhani ya mwaka wenu hu 1441, Na anasema Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani kwamba wanasayansi wa falaki wengi wao wamejua kwa matokeo hayo kwenye waki ya uhakika wakafanya siri kuzungumza na sisi watu wa kawaida itabainika kwetu ukweli wa anacho sema Nasser Nuhammad Al'Yamani kuanzia kuingia mwezi wa ramadhani kwenye kukamilika mwzi kua kamili badri ya kwanza yake jioni ya jumatano usiku wa alhamisi, Basi nani huyo ambae ameushuhudia mwandamo wa mwezi waramadhani jioni wa siku ya jumatano usiku wa alhamisi katika mashariki ya ardhi na magharibi yake? Ikiwa Nasser Muhammad Al'Yamani ni katika wa kweli basi hatimai watakuta walimwengu wote kua mwezi wa ramadhani umekamilika kua kamili badri jioni ya siku ya juma tano usiku wa alhamisi kwakua ghura mwanzo wa mwezi ni usiku wa nusu katika mwezi wala sio kwamba sisi tumekula siku ya alhamisi moja ramadhani! Kwakua mwandamo wa ramadhani uko katika hali ya kufikiliwa na hakuna alio uwona katika ulimwengu, Bali hata Nasser Muhammad Al'Yamani hakufunga alhamisi pamoja ya kujua kwake kua usiku wa funga ni usiku wa alhamisi, Lakini mwandamo wa ramadhani kutokezea kwake pakwanza alhamisi umezama kabla kuzama jua la jumatanu usiku wa alhamisi nao ni mwandamo wa mwanzo wa mwezi wa (Ramadhani) wala sio mwandamo wa mwisho wa mwezi wa (Shabani), Kwa hayo basi ikiwa Nasser Muhammad Al'Yamani ni katika wakweli hatimai itatimia mduwara wa kukamilika kikamilifu badri ramadhani jioni ya siku ya jumatano usiku wa alhamisi ikiwa ni katika wakweli kua jua limeufikia mwezi ndio ikazaliwa mwandamo kabla ya kushikana nae kituoni ulimwenguni ikakutana nae jua tayari ni mwandamo, Na ikiwa hikufanyika kukamilika kikamilifu kua kamili badri jio


ni ya jumatano usiku wa alhamisi basi ju ya Nasser Muhammad Al'Yamani laana ya Allah na malaika na watu wote.


Kisha anajibu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Ju Ya Binadamu wote na nasema: Na ikibainika kwenu uhakika wa tokeo la kufikilia kwa sababu ya kukamilika kikamilifu badri ya ramadhani ukamilifu wa kwanza baada kuzama jua la siku ya jumatano usiku wa alhamisi na hawakuamini wenye kiburi kwa aya ya kusadikisha ya kiulimwengu kwa Khalifa wa Allah katika ardhi baada ilipo yakinisha nafsi zao wakafanya kiburi kumtambua Khalifa wa Allah Al'Mahdi Nasser Muhammad baada ilipo yakinisha haki nafsi zao kua ndio haki usiku wa kwanza wa siku za ramadhani ni usiku wa alhamisi kwajili ya hivo ndio umekamilika kua kamili badri jioni ya siku ya jumatano usiku wa alhamisi, Basi wale walio kadhibu aya ya Allah ya kiulimwengu basi Ameniamuru Allah katika ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim kua niwabasiri na adhabu chungu, Na nini sababu ya kutoamini kwa kumsadikisha Khalifa wa Allah Nasser Muhammad Al'Yamani baada Alipo Msadikisha Allah Kwa Kukamilika Badri kikamilifu? Na ilhali wao hawajuwi kua mwanzo wa mwezi wa ramadhani kweli ni alhamisi lakini jua limefikilia mwezi ndio hakuna alio uwona katika binadamu siku ya jumatano shirini na tisa shabani usiku wa alhamisi, Na itabainika kwenu kulingana na kukamilika kikamilifu badri kwenye kuzama jua la jumatano usiku wa alhamisi kwa kila alio baleghe nguvuzake katika binadamu wote mwislamu wao na kafiri, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa (16) Na kwa usiku na unavyo vikusanya (17) Na kwa mwezi unapo pevuka,(18) Lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka (19) Basi wana nini hawaamini (20) Na wanapo somewa Qur'ani hawasujudu (21) Bali walio kufuru wanakanusha tu (22) Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yadhamiria (23) Basi wabashirie adhabu chungu (24)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alinshiqaq].
{ فَلَا أُقْسِمُ بِالشَّفَقِ ﴿١٦﴾ وَاللَّيْلِ وَمَا وَسَقَ ﴿١٧﴾ وَالْقَمَرِ إِذَا اتَّسَقَ ﴿١٨﴾ لَتَرْكَبُنَّ طَبَقًا عَن طَبَقٍ ﴿١٩﴾ فَمَا لَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ ﴿٢٠﴾ وَإِذَا قُرِئَ عَلَيْهِمُ الْقُرْآنُ لَا يَسْجُدُونَ [۩] ﴿٢١﴾ بَلِ الَّذِينَ كَفَرُوا يُكَذِّبُونَ ﴿٢٢﴾ وَاللَّهُ أَعْلَمُ بِمَا يُوعُونَ ﴿٢٣﴾ فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ ﴿٢٤﴾ } صدق الله العظيم [الإنشقاق].


Allahuma hakika Wewe Waujua wanayo dhamiria kua ni haki kutoka kwa Mola Mlezj wao mpaka Awaguse Allah wenye kiburi kwa adhabu chungu, Basi wabashiri kwa adhabu chungu kutoka kwa Mola Mlezi wao ju ya yale walio nayo kutokana na adhabu wanao ita virusi va corona, Allah Samehe na Wahurumie wanyonge na maskini na wote walio dhulumiwa katika ulimwengu na Fungua baina yangu na baina wanaofanya kiburi katika watoaji uwamuzi na wanaofanya katika serekali zao na yule alio kua kama wao katika binadamu wote waislamu wao na kafiri na Wewe ni Mbora wa Kufafanua na Mwepesi wa Kufanya hisabu, Ina Lillah Wa Ina ileyhi Rajiun, Basi vipi nitasikitika jua ya kaumu madhalimu? Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin.


Na enye ma3ashara ya ma Anssar katika sehemu tafauti uwarabuni na uejemuni, Na itimu kuzingatia kurakiz peke ju ya Bayana hi na kubalighisha kwa viombo vote va habari va ulimwengu kama mfano wa aljazira na alarabia na bbc ya kiarabu na cnn ya kiamerika na tuvoti za habari na ma chanel za kiarabu na tuvoti za habari na kwa njia ya twitter, Na itimu kurakiz kufanya tarjumani ya Bayana hi, Kuongezea ju ya kiarabu itimu kutarjimu kwa kizungu na kwa kifarsi Peke, Basi hamuna wakati kuitangaza Bayana hi yenye umuhimu mkuu, Na wala musihadid siku ya adhabu nayo ni kazi ya Allah na kwa Allah yanarudi mambo hata kama adhabu iko karibu.


Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam A'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفة الله وعبده الإمام المهدي ناصر محمد اليماني
_________