Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
30 - شعبان - 1441 هـ
23 - 04 - 2020 مـ
9:53 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=327448

______

هامٌّ وعامٌّ لكلِّ الأنصار في مختلف أقطار دول البشر..
Muhimu Na Kwa Jumla Kwa Wote Ma Ansar Katika Pembe Tafauti Ya Mataifa Ya Binadamu ..

Bismillah Al'Wahid Al'Qahar Alhakam Al'Muheimin Kheirul Fasilin, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin, Ama Baada Ya Hapo..

Salamu Za Allah Ju Yenu Na Rahma Zake Na Baraka Zake Wapendwa Wangu Ma Ansar Walio Tangulia Walio Bora Katika Sehemu Tafauti Katila Ubeduwini Na Mijini, Na Yule Ambae itatangazwa inchi yake ambao yeye anakaa hapo ama amienda kazi humo; Basi ikiwa wametangaza watowaji uwamuzi kuthubutu kuonekana mwandamu wa mwezi wa ramadhan kwa urongo na uzushi baada kuzama jua la alhamisi usiku wa ijuma basi wafunge ma ansar ( peke ) wale ambao wako katka taifa la mwenye tangazo la urongo na uzushi mwanzo wa funga ya ramadhani ju ya dhima ya mtowaji mamuzi katika hio inchi, Na mwisho wake ni moto watowaji ushuhuda wa urongo na uzushi na kiongozi wao alio ju Abdallah Alkhedheri mwenye uchunguzi wa hutat aseder, Na kiasi gani amepoteza nafsi yake akapoteza umma wake akabeba dhambi la watu ju ya dhima yake kwa kudai kwake kua Allah Amemzidisha kwa maoni ya ndege Falcon anaona nyota katikati ya mchana! Na lakini nyinyi ewe Abdallah Mumeingia katika zama za kufikiliwa pakubwa pamoja ya kwamba mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Nashuhudia kwa Allah ushahidi wa haki wa yakini kwamba mwandamo wa ramadhani ambao umeanza mwanzo wa mwezi wake baada kuzama jua la jumatano usiku wa alhamisi lakini nao ulikuwa uko katika hali ya kufikiliwa; Yani kwamba mwandamo umezaliwa kabla ya kukutana jua na mwezi ndio ikakutana nae jua nayo ni mwandamo, Na kulingana navojua kwamba kwa hisabu ya vituo va kuzama mwandamo hamutona mwandamo wa ramadhani baada kuzama jua la siku ya alhamisi usiku wa ijuma kwa tarehe mbili ramadhani ispokua kwa kamera za ccd kabla kuzama jua nao uko katika hali ya kufikiliwa.

Na eee ajabu enye ma3ashara ya ma ejemi na warabu (ajabu zaidi)! Na je munaingia mwanzo wa mwezi baada kuzama jua la mchana ama kabla kuzama jua uzushi na urongo?! Na kwa hali zote hivi si Allah Ndio Mbora Wakufafanua? Yule Ambae Ajua kwamba jua limefikilia mwezi ishara ya kusadikisha kiulimwengu kwa Khalifa wa Allah Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kwa idhini ya Allah Mola Mlezi wangu Allah Al'Wahid Al'Qahar, Na kwa hayo natangaza Siku ya kwanza ya kua mwezi kamili badri Ya ramadhani ya mwaka wenu hu 1441 kwa fahari na utukufu kua ni jioni ya siku ya jumatano usiku wa alhamisi, Na atawacha Al'Mahdi Al'Muntadhar uso wa mwezi albadar ambao umekamilika kamili ujdaliane na nyinyi kwa idhini ya Allah Al'Wahid Al'Qahar, Na (Alama ishara aya) nyingine na ma ishara zakufatana.


Na labda antaka moja katika waulizaji waislamu katika pembezoni za ulimwengu kusema Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani Ajabu jambo lako! Vipi na wewe wajua kwa yakini kama Alivo Kufundisha Mola Mlezi Wako kwa aya ya kufikiliwa onyo kwa wanadamu kwamba inaanza mwezi wa ramadhani ya mwaka wetu hu 1441 ni jioni ya siku ya jumatano usiku wa alhamisi, Kwanini hukufunga usiku wa alhamisi? Kisha anarudisha jibu kwake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na nasema ila hio ni aya ya kusadikisha imefichika munaijua siku ya kufunga kwenu katika mwanzo wa masiku ya mwezi wa ramadhani ndio munwuona mwandamo wa mwezi umefunguka kwakua umri wake ni mkubwa kwasababu umezaliwa kabla ya kushikana ndio ikakutana nae jua na tayari ni mwandamo, Na hakika utakua kamili badri jioni ya jumatano usiku wa alhamisi mshangao wa ukamilifu wa mwezi na itazama wakati wa kivuli katika wakati wa ikama ya swala ya alfajiri ya alhamisi, Na kila tukilekea mgharibi mwa yemen hivo hivo itazama mwezi ulio kamilika kuchelewa kwenye wakati wa kivuli mpaka kuchomozeka kwa jua katika mwisho wa ulimwengu, Na hukmu ni ya Allah Mbora wa kufafanua, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin.

Na atafunga Al'Imam Al'Mahdi kulingana na tangazo la serekali ya uwokowaji ju ya dhima yao, Na hivo hivo wote ma ansar katika sehemu tafauti pembezoni mwa ulimwengu kila moja afunge kulingana na tangazo la taifa ambao yeye yuko hapo ju ya dhima yao na Taqabala Allah funga yake na kismamo chake, Na nakariri na nasema; Halika mwanzo wa mwezi wa ramadhani imeingia jioni ya jumatano usiku wa alhamisi , Na usiku hu wa ijuma tarehe mbili ramadhani na jumamosi tarehe tatu ramadhani, Na mutajua hayo katika kufura miandamo ndio isimekane ni wa siku mbili ama tatu ikiwa munamsadikisha Allah na Mtume Wake kwamba hakika katika masharti ya saa ni kufura miandamo, Ndio isemwe wakati wa kutokezea kwake kwa wafungaji kwa jumla sehemu zilio finikwa na majabali na zilio wazi siku ya kufungua saumu yao siku ya kwanza isemekane ni wa siku mbili ama tatu, Na wafungaji wote kwa hayo ni mashahidi, Ewe Mola Mlezi Tufungulie baina yetu na baina ya wanao kiburi katika ulimwengu kwa haki hakika Wewe ni Mbora wa kuleta Ukombozi, Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin.


Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani
خليفة الله وعبدُه الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
_________