- 1 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
24 - 01 - 1433 هـ
20 - 12 - 2011 مـ
08:14 صباحاً
[ لمتابعة رابط المشاركة الأصليّة للبيان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=29267
ــــــــــــــــــــ



Amejibu Al'Imam Al'Mahdi Ju Ya Mulizaji Kuhusu Bayana Ya Kauli Yake Ta3ala:
{ Hakika aliye kulazimisha kuifuata Qur'ani hapana shaka atakurudisha pahala pa marejeo} Sadaqa Allah Al3adhim ..
{إِنَّ الَّذِي فَرَ‌ضَ عَلَيْكَ الْقُرْ‌آنَ لَرَ‌ادُّكَ إِلَىٰ مَعَادٍ} صدق الله العظيم ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allah Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Na Waislamu Wote, Ama Baada Ya Hapo ..


Amesema Allah Ta3ala:
{ Hakika aliye kulazimisha kuifuata Qur'ani hapana shaka atakurudisha pahala pa marejeo. Sema: Mola wangu Mlezi ndiye anaye mjua zaidi mwenye kuja na uwongofu, na nani aliyomo katika upotofu ulio dhaahiri (85) Nawe hukuwa unataraji kuletewa Kitabu; lakini ni rehema tu ya Mola wako Mlezi. Basi usiwe msaidizi wa makafiri (86)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas].
{إِنَّ الَّذِي فَرَ‌ضَ عَلَيْكَ الْقُرْ‌آنَ لَرَ‌ادُّكَ إِلَىٰ مَعَادٍ قُل رَّ‌بِّي أَعْلَمُ مَن جَاءَ بِالْهُدَىٰ وَمَنْ هُوَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ ﴿٨٥﴾ وَمَا كُنتَ تَرْ‌جُو أَن يُلْقَىٰ إِلَيْكَ الْكِتَابُ إِلَّا رَ‌حْمَةً مِّن رَّ‌بِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ ظَهِيرً‌ا لِّلْكَافِرِ‌ينَ ﴿٨٦﴾} صدق الله العظيم [القصص].


Na ewe ndugu mkarimu (Muslim Amazighi) Hakika ya maregeo alio ahidiwa kwenye maudhui hi haikusuduiwi nayo maregeo ya kufufuliwa bali magano ya maregeo kurudi maka na ushindi ju ya kaumu yake wale ambao walimtoa katika kijiji chao. Akasema Allah Ta3ala:
{ Na miji mingapi iliyo kuwa na nguvu zaidi kuliko mji wako huu ulio kutoa; nao tuliwateketeza na wala hawakuwa wa kuwanusuru (13)} Sadaqa Allah Al'3adhim [Muhammad].
{وَكَأَيِّن مِّن قَرْيَةٍ هِيَ أَشَدُّ قُوَّةً مِّن قَرْيَتِكَ الَّتِي أَخْرَجَتْكَ أَهْلَكْنَاهُمْ فَلَا نَاصِرَ لَهُمْ ﴿١٣﴾}صدق الله العظيم [محمد].


Kwakua Kaumu Wake wamefanya mamuzi ya mwisho kuhusu Muhammad Mtume Wa Allah - Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam - Waka'amua kumkamata, Na poti lingine miongoni mwao walisema: Tutamkamata kisha tumtowe inje mbali na taifa za kiarabu, Na ama wengine basi walisema; Bali tutamua na tutosheleze watu kutokana na shari yake, Na ama wengine wakasema; Bali tutamkamata kisha tumfunge, Kisha Allah Akamfunulia Nabi Wake kwa mbinu za kaumu wake dhidi yake ndio Akampa amri atoke maka Akamahidi Atamrudisha kwa ukombozi kwa idhini ya Allah, Na Yeye hakika ni Mbora wa Kufanya mbinu. Akasema Allah Ta3ala:
{ Na walipo kupangia mpango walio kufuru wakufunge, au wakuuwe, au wakutoe. Wakapanga mipango yao, na Mwenyezi Mungu akapanga yake. Na Mwenyezi Mungu ndiye mbora wa mipango (30)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal].
{وَإِذْ يَمْكُرُ بِكَ الَّذِينَ كَفَرُوا لِيُثْبِتُوكَ أَوْ يَقْتُلُوكَ أَوْ يُخْرِجُوكَ ۚ وَيَمْكُرُونَ وَيَمْكُرُ اللَّـهُ ۖ وَاللَّـهُ خَيْرُ الْمَاكِرِينَ ﴿٣٠﴾} صدق الله العظيم [الأنفال].


Na ilikua anasikia uzito Muhamma Mtume Wa Allah - Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam - Kuondoka maka almukarama pahala pa kuzaliwa kwake na wamo ndani yake ma ansari wake, Lakini Allah Alimwamuru Mtume Wake kufanya hijra ili Asiangamize kaumu yake kwa sababu ya kumfanyia mbinu, Kisha Allah Akawanuru ma ansari wake bada ya hapo wafanye hijra kwa Nabi wao waende pale alipo fanya hijra. Na Akasema Allah Ta3ala:
{ Hakika wale walio amini na wakahama na wakapigania Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, na wale walio toa mahala pa kukaa, na wakanusuru, hao ni marafiki na walinzi wao kwa wao. Na wale walio amini lakini hawakuhama, nyinyi hamna waajibu wa ulinzi kwao hata kidogo mpaka wahame} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal:72].
{إِنَّ الَّذِينَ آمَنُوا وَهَاجَرُوا وَجَاهَدُوا بِأَمْوَالِهِمْ وَأَنفُسِهِمْ فِي سَبِيلِ اللَّـهِ وَالَّذِينَ آوَوا وَّنَصَرُوا أُولَـٰئِكَ بَعْضُهُمْ أَوْلِيَاءُ بَعْضٍ ۚوَالَّذِينَ آمَنُوا وَلَمْ يُهَاجِرُوا مَا لَكُم مِّن وَلَايَتِهِم مِّن شَيْءٍ حَتَّىٰ يُهَاجِرُوا} صدق الله العظيم


[الأنفال:72].


Ispokua Allah Amewatenga wale walio zulika wala hawana namna, Na Akasema Allah Ta3ala:
{ Na mna nini msipigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu na ya wale wanao onewa, wanaume na wanawake na watoto, ambao husema: Mola Mlezi wetu! Tutoe katika mji huu ambao watu wake ni madhaalimu, na tujaalie tuwe na mlinzi anaye toka kwako, na tujaalie tuwe na wa kutunusuru anaye toka kwako.
غير أنّ الله استثنى الذين أُحصروا ولا يستطيعون سبيلاً. وقال الله تعالى: {وَالْمُسْتَضْعَفِينَ مِنْ الرِّجَالِ وَالنِّسَاءِ وَالْوِلْدَانِ الَّذِينَ يَقُولُونَ رَبَّنَا أَخْرِجْنَا مِنْ هَذِهِ الْقَرْيَةِ الظَّالِمِ أَهْلُهَا وَاجْعَل لَنَا مِنْ لَدُنْكَ وَلِيًّا وَاجْعَل لَنَا مِنْ لَدُنْكَ نَصِيرًا} صدق الله العظيم [النساء:75].


Na lengo la hijra kuhama ili kutayarisha jeshi la Allah ili waivamie maka ndio Awanusuru Allah Nusra baini kwenye magano wa ukombozi malum, Na Akamsadikisha Allah Nabie wake Wadi Wake kwa haki, Na akarudi maka akaingia kuifungua kwa ukombizi katika yale magano malum, Hio ndio siku ya ukombozi ulio baini. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Hakika tumekufungulia Ushindi wa dhaahiri (1) Ili Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako yaliyo tangulia na yajayo, na akutimizie neema zake, na akuongoe katika Njia Iliyo Nyooka (2) Na Mwenyezi Mungu akunusuru nusura yenye nguvu (3) Yeye ndiye aliye teremsha utulivu katika nyoyo za Waumini ili wazidi Imani juu ya Imani yao. Na Mwenyezi Mungu ndiye mwenye majeshi ya mbingu na ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye ujuzi, Mwenye hikima (4)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfat-h].
{إِنَّا فَتَحْنَا لَكَ فَتْحًا مُّبِينًا ﴿١﴾ لِّيَغْفِرَ‌ لَكَ اللَّـهُ مَا تَقَدَّمَ مِن ذَنبِكَ وَمَا تَأَخَّرَ‌ وَيُتِمَّ نِعْمَتَهُ عَلَيْكَ وَيَهْدِيَكَ صِرَ‌اطًا مُّسْتَقِيمًا ﴿٢﴾ وَيَنصُرَ‌كَ اللَّـهُ نَصْرً‌ا عَزِيزًا ﴿٣﴾ هُوَ الَّذِي أَنزَلَ السَّكِينَةَ فِي قُلُوبِ الْمُؤْمِنِينَ لِيَزْدَادُوا إِيمَانًا مَّعَ إِيمَانِهِمْ وَلِلَّـهِ جُنُودُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضِ وَكَانَ اللَّـهُ عَلِيمًا حَكِيمًا ﴿٤﴾} صدق الله العظيم [الفتح].


Na Hakika Allah Amemfaradhia Nabi Wake kubalighisha Al'Quran Al'3adhim kwa kaumu yake lakini wao wamekataza ulinganizi wake na waka'adhibu watakao mfwata katika ma dhaifu wao na walio maskini, Kisha wakataka kumfanyia mbinu Nabi ju yake sala na salam, Kwajili ya hivo Allah Amemwamuru Nabi Wake kufanya hijra kuhama kwenda Madina, Ndio Akamahidi kwamba atarudi maka kwa ukombozi kwenye siku ya ukombozi wa wazi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Hakika aliye kulazimisha kuifuata Qur'ani hapana shaka atakurudisha pahala pa marejeo. Sema: Mola wangu Mlezi ndiye anaye mjua zaidi mwenye kuja na uwongofu, na nani aliyomo katika upotofu ulio dhaahiri (85) Nawe hukuwa unataraji kuletewa Kitabu; lakini ni rehema tu ya Mola wako Mlezi. Basi usiwe msaidizi wa makafiri (86)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas].
{إِنَّ الَّذِي فَرَ‌ضَ عَلَيْكَ الْقُرْ‌آنَ لَرَ‌ادُّكَ إِلَىٰ مَعَادٍ قُل رَّ‌بِّي أَعْلَمُ مَن جَاءَ بِالْهُدَىٰ وَمَنْ هُوَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ ﴿٨٥﴾ وَمَا كُنتَ تَرْ‌جُو أَن يُلْقَىٰ إِلَيْكَ الْكِتَابُ إِلَّا رَ‌حْمَةً مِّن رَّ‌بِّكَ فَلَا تَكُونَنَّ ظَهِيرً‌ا لِّلْكَافِرِ‌ينَ ﴿٨٦﴾} صدق الله العظيم [القصص].


Na Akasadiki Allah Wadi Wake kwa Nabi Wake kwa maregeo ya ukombozi ulio baini, Hakika Allah Hakhalifu Miadi Yake. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Kwa hakika Mwenyezi Mungu amewapa radhi Waumini walipo fungamana nawe chini ya mti, na alijua yaliyomo nyoyoni mwao. Basi akateremsha utulivu juu yao, na akawalipa kwa Ushindi wa karibu (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfat-h].
{لَّقَدْ رَضِيَ اللَّـهُ عَنِ الْمُؤْمِنِينَ إِذْ يُبَايِعُونَكَ تَحْتَ الشَّجَرَةِ فَعَلِمَ مَا فِي قُلُوبِهِمْ فَأَنزَلَ السَّكِينَةَ عَلَيْهِمْ وَأَثَابَهُمْ فَتْحًا قَرِيبًا ﴿١٨﴾} صدق الله العظيم [الفتح].


Na ewe mpendwa wangu kwa Allah (Muslim Amazighi) Nataraji kutoka kwa Allah kua Asiondoshe moyo wako kutoka kwa haki, Na Akukitishe kwenye njia ilio nyoka, Na Amkitishe Al'Imam Al'Mahdi Na Ma Ansari wake wote katika haki ilio baini.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin ..


Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani .
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .
________