Al’Imam Nasser Muhammd Al’Yamani
الإمام المهدي ناصر محمد اليماني
12 - 01 - 1437 هـ
25 - 10 - 2015 مـ
03:29 صباحاً
ــــــــــــــــــــ


بيان الولدان من محكم القرآن، وهم الشباب الجُرد المُرد في بداية الشباب في محكم الكتاب ..
Bayana Ya “Al’Wildan” Wavlan Katika Muhakam Al’Quran, Wao Ni Mabarobaro Ambao Ndio Mwanzo Kutoka Na Ndevu Mwanzo Wa Ubarobaro Wao Katika Muhakam Ya Kitabu..


Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Muhammad Mtume Wa Allah Na Ahli Yake Walio Wazuri Na Wote Waumini Katika Kila Zama Na Mahali mpaka Siku Ya Malipo Ama Baada Ya Hapo..


Na ewe mweny kujadili Amabae anaji’ita Nafsi yake ( Almutabe3 ), Ikiwa wataka Haki basi hakika hatusemi ju ya Allah ispokua haki kwa Bayana ya haki ya Al’Quran kutoka kwa dhati ya Al’Quran, Basi tutaangazia Bayana kuhusu uhakika wa umri ya wavlana wa milele kulingana na ombi lako na matarajio yako katika Moja ya majibu kwamba isifafanuliwe ispokia umri wa Wildan Wavlana mabarobaro, Na tutakupa Fatwa kwa haki.


Hakika Sisemi ju ya Allah ila haki, Basi hakika wao ni wavlana mabarobaro ambao nyuwele za ndevu zao zaanza katika mwanza wa ubarobaro wao basi wao sio wadogo wala sio wakubwa; Kwa maana kwamba wao wanaweza kuzalisha kizazi kutoka kwao kwa kujamiana na wake zao pamoja ya kwamba wao bado wanazali ndevu zao za anza kumea kwakua wao wamebalighi katika mwanza wa ubarobaro wao.
Na hakika tutakutimizia ombi lako na itatimu kuangazia Bayana ya uhakika wa Wildan Wavlana wa milele na miyaka yao.


Na enye ma3ashara ya waulizaji kuhusu Wildan wavlana wa milele basi hakika tutabainisha Poti katika Wildan wavlana wa milele, Basi Hakika wao ni kutokana na kizazi cha binadamu katika bustani ya Neema baba zao katika binadamu wanaume na mama zao ni katika Hurilein Na hio kwenu ni katika umbo lingine. kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{نَحْنُ خَلَقْنَاكُمْ فَلَوْلَا تُصَدِّقُونَ (57) أَفَرَأَيْتُم مَّا تُمْنُونَ (58) أَأَنتُمْ تَخْلُقُونَهُ أَمْ نَحْنُ الْخَالِقُونَ (59) نَحْنُ قَدَّرْنَا بَيْنَكُمُ الْمَوْتَ وَمَا نَحْنُ بِمَسْبُوقِينَ (60) عَلَى أَن نُّبَدِّلَ أَمْثَالَكُمْ وَنُنشِئَكُمْ فِي مَا لَا تَعْلَمُونَ (61) وَلَقَدْ عَلِمْتُمُ النَّشْأَةَ الْأُولَى فَلَوْلَا تَذَكَّرُونَ (62)} صدق الله العظيم [الواقعة].
Sadaqa Allah Al3adhim [Alwaqia 57-62].



Na tunachunguza kutokana na hayo kuhusu kizazi cha binadamu katika shamba la huruleini wake walio olewa hamuna ilimu nao na Wameumbwa vipi na Allah kwakua wao sio katika kizazi cha Binadamu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَنُنشِئَكُمْ فِي مَا لَا تَعْلَمُونَ (61)} صدق الله العظيم.
Sadaqa Allah Al3adhim,
Yani Anawaumba katika shamba la wake ambao hamuna ilimu nao. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَلَا تَعْلَمُ نَفْسٌ مَّا أُخْفِيَ لَهُم مِّن قُرَّةِ أَعْيُنٍ جَزَاءً بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ (17)} صدق الله العظيم [السجدة].
Sadaqa Allah Al3adhim [Alsajda 17].

Na suali ambalo lajiweka lenyewe ni kwanini Ametaja Allah kujificha kwao kwa wengina Walioko na wao? Na jibu kwakua wao wame’tawishwa kutoka katika ma khema yao wanangoja waja wa Allah waliokurubishwa. Kusadikisha Kuli ya Allah Ta3ala:
{حُورٌ مَّقْصُورَاتٌ فِي الْخِيَامِ (72) فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ (73) لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ (74) فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ (75)} صدق الله العظيم [الرحمن].
Sadaqa Allah Al3adhim [Al’Rahman 72-75].


Na suali laji
tokeza lenyewe mara ingine, Kwanini wanaitwa poti katika wakazi wa janna kwamba ni Wildan wavlana wa milele? Na hivo kwajili wao ni wavlana wa milele katika ubarobaro katika umri wa ubarobaro wao wa kwanza; Ndevu zao ndio zaanza kutoka baina ya miyaka shirini na chini ya thalathini, Na kadhalika umri wa wote watu wa janna ya Neema Anawafufua Allah katika miyaka ya kuanzia mwanzo wa ubarobaro baina ya miyaka shirini na chini ya thalathi, Kusadikisha Hadithi ya Muhammad Mtume Wa Allah Za haki Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Amisema:
[يَدْخُلُ أَهْلُ الجَنَّةِ الجَنَّةَ جُرْداً مُرْداً مُكَحَّلِينَ] صدق عليه الصلاة والسلام.
[Wanaingia watu wa peponi wakiwa Ndevu zao zaanza kumea Macho yana wanja] Sadaqa Aleyhi Asalat Wa Salam. Basi wao hivo hivo wako katika umri wa “Al’Wildan Almukhaladon” Wavlana wa milele katika Miyaka shirini na chini ya thalathini, Basi hawawi wakubwa wakazeka wakarudi mpaka hajijuwi tena Wala Hawaonji ndani yake mauti tena ispokua mauti ya kwanza katika maisha ya dunia.


Na kwa Kuli hali, Basi kuhusu Al’wildan Al’mukhaladin Wavlana Wa Milele wamezaliwa katika Janna, Na yasmama miyaka Yao katika miyaka ya wavlana nayo ni umri wa ubarobaro wa kwanza, Na unaka milele umri wao kwa ule umri kabisa haina mwisho, Na ametujadili (Almutabe3) mjadala mkubwa akasmamisha dunia akaikalisha ju ya umri wa Al’Wildan Wavlana akasema kwamba wao ni wadogo bado wako katika umri ya Utoto, Lakini Al’Imam Nasser Muhammd Al’Yamani anawapa Fatwa Kwa haki: Hakika ya Al’Wildan Wavlana wao ni poti katika wanaume kwenye umri wa ubarobaro wa kwanza mwanzo wa kumea ndevu pamoja yakwamba kutokezea kuonekana ndevu zao na masharubu yao kungara lakini bado makasi haijakata kata, Na Wanaitwa kuwa “Al’shabab Aljurud Almurud” Mabarobaro mwanzo wakutoa ndevu..

Na kwa hali zote, Wakati mutakapo Kupeleleza Katika Ma Aya ambazo Ametaja Allah ndani yake Al’Wildan katika maisha Ya Dunia basi mutajua kwa ilimu ya yakini kwamba wao hawakuwa tena watoto wadogo; Bali mabarobaro mwanzo wa kutoa ndevu na wanaweza kuingia vitani. kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمَا لَكُمْ لَا تُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ وَالْمُسْتَضْعَفِينَ مِنَ الرِّجَالِ وَالنِّسَاءِ وَالْوِلْدَانِ الَّذِينَ يَقُولُونَ رَبَّنَا أَخْرِجْنَا مِنْ هَذِهِ الْقَرْيَةِ الظَّالِمِ أَهْلُهَا وَاجْعَلْ لَنَا مِنْ لَدُنْكَ وَلِيًّا وَاجْعَلْ لَنَا مِنْ لَدُنْكَ نَصِيرًا} صدق الله العظيم [النساء:75].
Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:75].

Na Ama inao kusudiwa kwa wanaume hapa basi wanakusudiwa wenye madevu baina ya uume na uze, Na Ama Al’Wildan Wavlana Basi wao ni mabarobaro mwanzo wa kutoa ndevu kwenye umri wa ubarobaro wa kwanza. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ تَوَفَّاهُمُ الْمَلآئِكَةُ ظَالِمِي أَنْفُسِهِمْ قَالُواْ فِيمَ كُنتُمْ قَالُواْ كُنَّا مُسْتَضْعَفِينَ فِي الأَرْضِ قَالْوَاْ أَلَمْ تَكُنْ أَرْضُ اللّهِ وَاسِعَةً فَتُهَاجِرُواْ فِيهَا فَأُوْلَـئِكَ مَأْوَاهُمْ جَهَنَّمُ وَسَاءتْ مَصِيراً (97) إِلاَّ الْمُسْتَضْعَفِينَ مِنَ الرِّجَالِ وَالنِّسَاء وَالْوِلْدَانِ لاَ يَسْتَطِيعُونَ حِيلَةً وَلاَ يَهْتَدُونَ سَبِيلاً(98)} صدق الله العظيم [النساء].
Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa 97-98].

Basi pelelezeni enyi ma3ashara ya watafiti kuhusu haki katika hizi sinfu aina tatu ambao haikuinuliwa jua yao kalamu katika kuhama kwenye Ardhi kwa kukimbia na dini yao ispokua kwamba iwazuwie udhuru wa kisharia nayo ni kutokua na uwezo wa

kuhama iwe sawa ni katika wanaume kwenye umri wale ambao watu wazima ama wanawake waze ama mabarobaro wavlana, Na Umuhimu ni kwamba sisi tunachunguza kwamba hakika ya Al’Wildan Wavlana haikuinuliwa kwao kalamu ya kuhama ispokua kwa udhuri wa kisharia nayo ni kutokua na uwezo wa kuhama basi hawana mbinu wala kupata njia,
{إِنَّ الَّذِينَ تَوَفَّاهُمُ الْمَلآئِكَةُ ظَالِمِي أَنْفُسِهِمْ قَالُواْ فِيمَ كُنتُمْ قَالُواْ كُنَّا مُسْتَضْعَفِينَ فِي الأَرْضِ قَالْوَاْ أَلَمْ تَكُنْ أَرْضُ اللّهِ وَاسِعَةً فَتُهَاجِرُواْ فِيهَا فَأُوْلَـئِكَ مَأْوَاهُمْ جَهَنَّمُ وَسَاءتْ مَصِيراً (97) إِلاَّ الْمُسْتَضْعَفِينَ مِنَ الرِّجَالِ وَالنِّسَاء وَالْوِلْدَانِ لاَ يَسْتَطِيعُونَ حِيلَةً وَلاَ يَهْتَدُونَ سَبِيلاً(98)} صدق الله العظيم [النساء].
Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa 97-98].

Na mukipeleleza Kwa Aya Haki ya Kupeleleza kwake mutapata kwamba hakika kalamu haikuinuliwa ju ya Al’Wildan Wavlana kwakua wao mabarobaro Wavlana na Waschana kwenye umri wa ubarobaro wa kwanza wakawa wamekalifishwa na watafanyiwa hisabu ispokua ikiwa hawana mbinu wakakosa kupata njia ya kukimbia na dini yao. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِلاَّ الْمُسْتَضْعَفِينَ مِنَ الرِّجَالِ وَالنِّسَاء وَالْوِلْدَانِ لاَ يَسْتَطِيعُونَ حِيلَةً وَلاَ يَهْتَدُونَ سَبِيلاً} صدق الله العظيم،
Basi wanaume ni wale wenye madevu na waze Na Ama Al’Wildan Wavlana basi wao ni mabarobaro wanza kutoka na ndevu.

Na ewe ambae ni mutabe3, Ispokua umetujia ili kuzuwia bayana ya haki ya Kitabu, Na unatamani uingie hata kama kwenye tundu ya sindano ili usmamishe hoja Ju ya Nasser Muhammd Al’Yamani hata kama kwenye masaala moja pekeyake, Na heyihat heyihat na Atahukumu Allah baina yangu na baina yako yupi katika sisi anataka haki wala sio kando na haki na yupi anataka batili na inamchukua utukufu kwa dhambi, Basi hebu Billah kwako na je unaweza kutufahamisha kutupa fatwa kwamba Yeye Anakusudia ni watoto wadogo katika Kauli ya Allah Ta3ala:
{إِلاَّ الْمُسْتَضْعَفِينَ مِنَ الرِّجَالِ وَالنِّسَاء وَالْوِلْدَانِ لاَ يَسْتَطِيعُونَ حِيلَةً وَلاَ يَهْتَدُونَ سَبِيلا(98)} صدق الله العظيم؟

Ikakughuri kutajwa Wanaume wenye madevu na ukakanusha Al’Wildan Wavlana wenye kuanza kutoa ndevu, Na ukasahau kutadabar Kupeleleza kwamba haikuinuliwa ju yao kalamu ya kuhama ispokua ikiwa hawakuweza kua na hila na kupata njia. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِلاَّ الْمُسْتَضْعَفِينَ مِنَ الرِّجَالِ وَالنِّسَاء وَالْوِلْدَانِ لاَ يَسْتَطِيعُونَ حِيلَةً وَلاَ يَهْتَدُونَ سَبِيلاً(98)} صدق الله العظيم [النساء]
Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].
Basi angalia Kauli Ya Allah Ta3ala:


{وَالْوِلْدَانِ لاَ يَسْتَطِيعُونَ حِيلَةً وَلاَ يَهْتَدُونَ سَبِيلاً(98)} صدق الله العظيم.
Na je unamona Anawahutubia Watoto wadogo ewe mwanamume ama Wavlana mwanzo wa kumea ndevu?

Na kivovote Nakushkuru kwajili wewe umekata kufafanuliwa Wake wa Al’Wildan Al’Mukhaladin Wavlana wa Milele kwakua wako katika Wanawake wenye kuwapenda waume zao kumpenda sana basi yeye hataki mwinginewe katika akhera, Na ala kuli hali hakika sisi hatumpi yeye fatwa kwamba Allah hatomozesha kwa yule anae mtaka kwakua Allah

Ameahidi watu wema kutimiza yale anayo yatamani nafsi zao na wanao ndani yake yale wanao Yataka, Lakini wanawake katika misri walikata mikono yao kwasababu ya uzuri wa Yusuf Basi vipi ikiwa lau wataona Al’Wildan Al’Mukhaladin kama mfano wa lulu zilizomo katika chaza! Na je Allah Ameumba uzuri wao kucheza? Subhanahu Ametukuka!
Na tunajua kutoka kwa Allah yale musoyajua.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Nduguyenu; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammd Al’Yamani.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_________