Jee ! Kweli Anapaswa Kwa Mwislamu Kwamba Amowe Mwanamke katika Ahlul'Kitabu Hamini Al'Quran Wala Mtume Wa Allah Aleyhi Aswalat Wasalam Kama Wanavo Towa Fatwa Kujuzu Hayo Wengi Katika Wanazuoni Na Mashekhe Wa Umma?


هل فعلا يحل للمسلم أن يتزوج بكتابيّة لاتؤمن بالقران ولابرسول الله عليه الصلاة والسلام كما يفتي بجواز ذلك كثير من علماء وشيوخ الامة الاسلامية؟


Na Jawabu Kwa Ulul'Albab Wenye Akili Kwenye Muhkam Ya Kitabu Pekeayke:Akasema Allah Ta3ala:
{وَلاَ تَنكِحُواْ الْمُشْرِكَاتِ حَتَّى يُؤْمِنَّ وَلأَمَةٌ مُّؤْمِنَةٌ خَيْرٌ مِّن مُّشْرِكَةٍ وَلَوْ أَعْجَبَتْكُمْ وَلاَ تُنكِحُواْ الْمُشِرِكِينَ حَتَّى يُؤْمِنُواْ وَلَعَبْدٌ مُّؤْمِنٌ خَيْرٌ مِّن مُّشْرِكٍ وَلَوْ أَعْجَبَكُمْ أُوْلَئِكَ يَدْعُونَ إِلَى النَّارِ وَاللّهُ يَدْعُوَ إِلَى الْجَنَّةِ وَالْمَغْفِرَةِ بِإِذْنِهِ وَيُبَيِّنُ آيَاتِهِ لِلنَّاسِ لَعَلَّهُمْ يَتَذَكَّرُونَ (221)} صدق الله العظيم [البقرة]
Allah Ta3ala Sema:
{Na Wala Musi'owe Wanawake Mushrikina Mpaka Wa'Amini Japokuwa Kijakazi Wakike Mumina Bora Kuliko Mwanamke Mushrikina Hata Kama Mume'Pendezwa Wala Musiolewe Na Mushrikina Mpaka Wamini, Japokuwa Kijakazi Wa Kiume Mu'Umin Ni Bora Kuliko Mushrikina Hata Kama Mumipendezwa HaWo Ndio Wanalingania Moto Na Allah Alingania Pepo Na Maghfira Kwa Idhni Yake Na Anabainisha Aya Zake Kwa Watu Huwenda Wakakumbuka(221)}Sadaqa Allah Al'3adhim[Albaqara]

Na Swali Lajitokeza Lenyewe Na Nini Inao'Kusudiwa Kwa Aliman Katika Kauli Yake Allah Ta3ala:

{وَلاَ تَنكِحُواْ الْمُشْرِكَاتِ حَتَّى يُؤْمِنَّ وَلأَمَةٌ مُّؤْمِنَةٌ خَيْرٌ مِّن مُّشْرِكَةٍ وَلَوْ أَعْجَبَتْكُمْ وَلاَ تُنكِحُواْ الْمُشِرِكِينَ حَتَّى يُؤْمِنُواْ وَلَعَبْدٌ مُّؤْمِنٌ خَيْرٌ مِّن مُّشْرِكٍ وَلَوْ أَعْجَبَكُمْ }؟
Allah Ta3ala Asema:
{Na Wala Musi'owe Wanawake Mushrikina Mpaka Wa'Amini Japokuwa Kijakazi Wakike Mumina Bora Kuliko Mwanamke Mushrikina Hata Kama Mume'Pendezwa Wala Musiolewe Na Mushrikina Mpaka Wamini,Japokuwa Kijakazi Wa Kiume Mu'Umin Ni Bora Kuliko Mushrikina Hata Kama Mumipendezwa}?

Na Ni Nini Hio Iman inao'Takikana Kwao Wa'Amini Kwa Yale Yalio Teremshwa Kwanani Haswa Mpaka iwe Halali Ku'Owa Kwao Na Kuwaozisha? Na Alafu Mutapata Jawabu Kutoka Muhkam Alkitab:
قُولُواْ آمَنَّا بِاللّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَى إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالأسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَى وَعِيسَى وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لاَ نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ (136) فَإِنْ آمَنُواْ بِمِثْلِ مَا آمَنتُم بِهِ فَقَدِ اهْتَدَواْ وَّإِن تَوَلَّوْاْ فَإِنَّمَا هُمْ فِي شِقَاقٍ فَسَيَكْفِيكَهُمُ اللّهُ وَهُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ (137) صِبْغَةَ اللّهِ وَمَنْ أَحْسَنُ مِنَ اللّهِ صِبْغَةً وَنَحْنُ لَهُ عَابِدونَ (138) قُلْ أَتُحَآجُّونَنَا فِي اللّهِ وَهُوَ رَبُّنَا وَرَبُّكُمْ وَلَنَا أَعْمَالُنَا وَلَكُمْ أَعْمَالُكُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُخْلِصُونَ (139)} [البقرة]
Allah Ta3ala Asema:
{Semeni Tumiamini Kwa Allah Na Yale Yalio'Teremshwa Kwetu Na Yalio Teremshwa Kwa Ibrahim Na Ismail Na Is'hak Na Yaakub Na Alasbat Na Alio Letewa Musa Na Issa Na Walio Letewa Manabi Kutoka Mola Mlezi Wao Hatu'Tafautishi Baina Moja Wao Yoyote Na Sisi Kwake Ni Muslimin(136)Na Wakiamini Kama Munavo Amini Kwa Hayo Basi Wame'Ongoka Na Wakipuza Basi Hakika Wao Wako Katika Shikak Na Atawa'Tosheleza Allah Na Yeye Al'Sami3 Al3alim(137)Mwelekeo Wa Allah Na Mwelekeo Upi Bora Kuliko Wa Allah Na Sisi Kwake Wenye Kumwabudu(138)Sema Mwatuhoji Kuhusu Allah Na Yeye Mola Mlezi Wetu Na Mola Mlezi Wenu Na Tuko Na Matendo Yetu Na Muko Na Matendo Yenu Na Sisi Kwake Ni Wenye Ikhlas(139)}Sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara]

Tafakarini Katika Kauli Ya Allah Ta3ala Kuhusu Masharti Ya Iman ambao Ni Muhkam Katika Kitabu:
فَإِنْ آمَنُواْ بِمِثْلِ مَا آمَنتُم بِهِ فَقَدِ اهْتَدَواْ}
(Ikiwa Waki'Amini Kama Vile Munavo Amini Kwa Hayo Basi Wameongoka},

Wala Sioni Katika Muhkam Ya Kitabu Cha Allah Kuwa Allah Amepasa Kwa Mwislamu Amowe Mwanamke Wa Wenye Kitabu ila Awe Yuko Kwenye Dini Yake Hamwabudu Ila Allah Na Ham'Shirikishi Nae Kitu, Hata Kama Amesema:" Mimi Ni Mnasara Na'Amini Kwa Tawurat Na Injili Na Al'Quran Al3adhim Lakini Mimi Nafwata Al'Injil",

Na Alafu Namrudishia Jibu Mwanamke Huyo Na Nasema: Na Ukipata Hukumu Katik Injil Imekuja Imekhalifu Hukumu Ya Allah Katika Al'Quran Ni'Ipi Kati Yake Utafwata?" Akisema Nitafwata Al'Quran Al3adhim Kitabu Kimehifadhiwa Kutokana Na Kuzushwa"

Na Alafu Anaarudisha Kwa Mwanamke Jibu Al'Imam Al'Mahdi Na Nasema: Amehalalisha Allah Mwislamu Akuowe Hakika Wewe Ni Katika Waumini Wale Hawamshirikishi Allah Kitu Madamu Umishikilia Al'Quran Al3adhim Na Unakufuru Kinacho Khalifu Kwa Muhkam Al'Quran Al3adhim, Na Sisi Hatu'Wambi Manasara Wakufuru Ile Aliyo'Teremsha Allah Ndani Ya Injil Bali Nawa'Amuru Wakufuru Kwa Yale Yaliyo Kuja katika Al'Tawurat Na Al'Injil Yamekhalifu Al'Quran Al3adhim, Kwa Kuwa Mimi Najuwa Kuwa Yale Yalikuja Katika Al'Tawurat Na Al'Injil Ya'Khalifu Al'Quran Al3adhim Basi Hio Ni Batili Na Ni Uzushi; Yoyote Ambayo Itakhalifu Muhkam Ya Al'Quran Al3adhim Iwe Ni Katika Al'Tawurat Ama Iwe Katika Al'Injil Ama Iwe Katika Ma Ahadith Ya Alsunna Alnabawiya Kwa'Kuwa Al'Tawurat Na Al'Injil Na Ahadithi Al'Nabawiya Hazi'Kuhifadhiwa Kwa Kuzushwa Kutokana Na Mashetani Watu Ambao Wana'Dhihirisha Iman Na Wanaficha Ukafiri Na Vitimbi ili Wazuwiye Watu Kwa Kufwata Ukumbusho.

Na Khulasa Ya Fatwa Yetu Kwa Dhiki Ya Wakati Tunasema: Sio Halali Mwislamu Aowe Mwanamke Watu Wa kitabu Kama Hakuwa Katika dini ya Kislam, Na Si Halali Kwa Mwanamke Aolewe Na Watu Wa Kitabu Asiye Katika Dini Yake Dini Ya Alislam Ya Haki Ambao Amekuja Nayo Musa Na Issa Na Muhammad Mtume Wa Allah Na Wote Manabi Kutoka Mola Mlezi Wao Wamekuja Na Dini Ya Alislam, Kwa'Kuwa Dini Kwa Allah Ni Al'Islam Kujisalimisha Kwajili Ya Allah Ndio Am'Wabudu Yeye Pekeyake Hana Mshirika,
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{شَهِدَ اللَّهُ أَنَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ وَالْمَلَائِكَةُ وَأُولُو الْعِلْمِ قَائِمًا بِالْقِسْطِ ۚ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ (18) إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ (19) فَإِنْ حَاجُّوكَ فَقُلْ أَسْلَمْتُ وَجْهِيَ لِلَّهِ وَمَنِ اتَّبَعَنِ ۗ وَقُل لِّلَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ وَالْأُمِّيِّينَ أَأَسْلَمْتُمْ ۚ فَإِنْ أَسْلَمُوا فَقَدِ اهْتَدَوا ۖ وَّإِن تَوَلَّوْا فَإِنَّمَا عَلَيْكَ الْبَلَاغُ ۗ وَاللَّهُ بَصِيرٌ بِالْعِبَادِ (20)} [آل عمران]
Allah Ta3ala Asema:
{ Mwenyezi Mungu, na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye Mwenye kusimamisha uadilifu; hapana mungu ila Yeye Mwenye nguvu na Mwenye hikima (18) Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu (19) Na pindi wakikuhoji, basi sema: Mimi nimeusalimisha uso wangu kumwelekea Mwenyezi Mungu, na kadhaalika walio nifuata. Na waambie walio pewa Kitabu na wasio na kisomo: Je! Mmesilimu? Wakisilimu basi wameongoka. Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake (20)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran].

Na Nastajabu Kwa Wale Ambao Wanatowa Fatwa Kuhalalisha Alio Haramisha Allah Kwenye Muhakam ilio Wazi Kitabu Chake Kwa Hoja Mwanamume Anaweza Kumdhibiti Mwanamke Wakasma Kwahivo Inakua Halali Kwa Mwislamu Wa Kiume Kumoa Wenye Kitabu Mwanamke Nae Hayuko Katika Dini Yake ! Na Alafu Nasema:

Na Eee Ajabu Kwangu Sana Lakini Hivo Ni Uzushi Kutoka Kwa Nafsi Zenu Ama Amewapoteza Mashetani Wengine Wanataka Kutokana Na Wanawake Wa Kiyahudi Wa'andae Kizazi Kutoka Kwa Waislamu Wanakua Na Dini Kwa Yale Yalio Kuja Katika Dini Ya Kiyahudi, Kwakua Wao Wanajua Kwamba Mama Ni Chuo Cha Watoto Nae Ndio Sana Anae Tangamana Na Wtoto Na Kuliko Baba Na Hivo Wata'Athirika Na Dini Yake iwe Sawa Dini Ya Haki Ama Ya Batili, Lakini Mcheni Allah Wala Musitowe Fatwa Katika Dini Ya Allah Kutoka Kwa Nafsi Zenu Bila Ya ilimu Kutoka Kwa Allah Na Kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَلَا تَقُولُوا لِمَا تَصِفُ أَلْسِنَتُكُمُ الْكَذِبَ هَٰذَا حَلَالٌ وَهَٰذَا حَرَامٌ لِتَفْتَرُوا عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَفْتَرُونَ عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ لَا يُفْلِحُونَ}[النحل:116]
Allah Ta3ala Asema:
{ Na Wala Musiseme Kwa Yale Yano Sifu Ndimi Zenu Urongo Hi Halali Na Hi Haramu Ili Muzuwe Juu Ya Allah Urongo Halkika Ya Wale Wanazuwa Juu Ya Allah Urongo Hawatofauli } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnamli:116].

Hivi Hamjuwi Kwamba Katika Ma'Sharti Ya Kutoa Fatwa Yatakiwa Iwe Ni Ilimu ya Kubainika Kutoka Kwa Allah?
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{هَٰؤُلَاءِ قَوْمُنَا اتَّخَذُوا مِن دُونِهِ آلِهَةً ۖ لَّوْلَا يَأْتُونَ عَلَيْهِم بِسُلْطَانٍ بَيِّنٍ ۖ فَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّنِ افْتَرَىٰ عَلَى اللَّهِ كَذِبًا (15)}[الكهف]
Allah Ta3ala Asema:
{ Hawa watu wetu wameshika miungu mingine badala yake Yeye. Kwa nini basi hawawatolei uthibitisho ulio dhaahiri? Na nani aliye dhaalimu zaidi kuliko anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu (15)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alkahf].

Lakini Mcheni Allah Enyi Waja Wa Allah Na Tahadharini Kutoa Fatwa Katika Dini Ya Allah Kwa Ijtihada Kutoka Kwa Nafsi Zenu Kwa Dhana, Na Mujiwe Kwamba Dhana Haifali Mbele Ya Haki Kitu Hata Kama Hilo Poti Ni Kubwa Na Ilimu Yao Ni Ya Kudhania, Lakini Mujuwe Sio Kufwata Kwajili Ya Wingi Bali Ni Kwa Utawala Wa Ilimu ilio Baini Kutoka Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Lakini Tahadharini Nailimu Ya Kudhania Amayo inaweza Kua Ni Sahihi Na inaweza Kua Ni Makosa, Na Mukumbuke Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَإِنْ تُطِعْ أَكْثَرَ مَنْ فِي الأَرْضِ يُضِلُّوكَ عَنْ سَبِيلِ اللَّهِ إِنْ يَتَّبِعُونَ إِلاَّ الظَّنَّ وَإِنْ هُمْ إِلاَّ يَخْرُصُونَ (116) إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ مَنْ يَضِلُّ عَنْ سَبِيلِهِ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ (117)} صدق الله العظيم [الأنعام]
Allah Ta3ala:
{ Na ukiwat'ii wengi katika hawa waliomo duniani watakupoteza na Njia ya Mwenyezi Mungu. Hawa hawafuati ila dhana tu, na hawakuwa ila ni wenye kusema uwongo tu (116) Hakika Mola wako Mlezi ndiye Mjuzi kushinda wote kuwajua walio potea Njia yake, na ndiye Mjuzi kushinda wote kuwajua walio hidika (117)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam].
_______________

Na Amehalalisha Allah Kwa Waumini Ku'owa Walio'olewa Waumini Katika Kaumu Ya Makafiri Kwakua Sio Halali Tena Kwake Ba'ada Asha'amini, Na Hivo Hivo Amehalalisha Allah Kwa Waumini Wa'owe Walio Olewa Katika Watu Wa Kitabu Walio'Amini Na Haijuzu Kuwarudisha Kwa WalioMshrikisha Mola Mlezi Wao Ba'ada Kuamini Kwao. Na Hivo Amesema Allah Ta3ala:

{{ وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ الْمُؤْمِنَاتِ وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ مِنْ قَبْلِكُمْ إِذَا آتَيْتُمُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ مُحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَافِحِينَ }} صدق الله العظيم [المائدة:5].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na pia wanawake wema miongoni mwa Waumini, na wanawake wema miongoni mwa walio pewa Kitabu kabla yenu, mtakapo wapa mahari yao, mkafunga nao ndoa, bila ya kufanya uhasharati wala kuwaweka kinyumba} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida:5].

Na Sababu Kwamba Amihalalisha Waumini Ku'owa Al'Mu7hsanat Yani Walio Olewa Na Mushrikin Alafu Aka'amini Kwa Allah Pekeyake hamshirikishi Nae Kitu Basi Hapa Haijuzi Kumrudisha Kwakua Yeye Sio Halali Kwake Wala Huyu Mwanamume Sio Halali Yake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala Asema:

{يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا جَاءَكُمُ الْمُؤْمِنَاتُ مُهَاجِرَاتٍ فَامْتَحِنُوهُنَّ اللَّهُ أَعْلَمُ بِإِيمَانِهِنَّ فَإِنْ عَلِمْتُمُوهُنَّ مُؤْمِنَاتٍ فَلا تَرْجِعُوهُنَّ إِلَى الْكُفَّارِ لا هُنَّ حِلٌّ لَهُمْ وَلا هُمْ يَحِلُّونَ لَهُنَّ} صدق الله العظيم [الممتحنة:10
Allah Ta3ala Asema:
{ Enyi mlio amini! Wakikujilieni wanawake Waumini walio hama, basi wafanyieni mtihani - Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujua zaidi Imani yao. Mkiwa mnawajua kuwa ni Waumini basi msiwarudishe kwa makafiri. Wanawake hao si halali kwa hao makafiri, wala hao makafiri hawahalalikii wanawake Waumini } Sadaqa Allah Al3adhim [Almumtahana:10]. Na Yule Mwanamke Almuhsana Yani Alio'Olewa Na Mushrikina Alafu Ak'Amini Akakimbia Kwa Waislamu Na Dini Yake, Ndio Alafu Akahalalisha Allah Kwa Mumini Amowe Halali Mzuri Na Ampe Ujira Wake Mahari Ya Kumowa.

Na Kadhalika Amehalalisha Allah Kwa Wanawake Almu7hsanat Katika Watu Wa Kitabu Nae Alio'Olewa Pindi Akija Amiamini Kwa Allah Pekeyake Anamwabudu Hamshirikishi Na Yeye Kitu Kutoka Kwa Kaumu Wanamshirikisha Allah Na Wanasema Al'Masi7h Ni Mtoto Wa Allah, Subhanahu Ametukuka! Ama Kutoka Kwa Kaum Wasema Uzeir Ni Mtoto Wa Allah, Subhanahu Ametukuka! Basi Akija Moja Katika Wakezao Walio'olewa Wamehama Na Dini Yao Ya Haki Kwenda Kwa Waumini Basi Lakini Sio Halali Kwa Waumini Wawarudishr Kwa Washirikina Katika Watu Wa Kitabu Hata Kama Ameolewa, Ashahalalisha Allh Kwa Mumin Amowe Kam wanawake Walio'olewa Walioamini Katika Wanawake Wa Kaumu Makafiri.

Lakini Ikowapi Mgongano Ewe Amabae Ni Alanswari Uliokirimiwa? Na Nakuona Unawambia Ma Answar:" Musiniambie Mimi Usiulize kwa Mambo ikifafanuliwa Uchukie" Na Wataka Jawabu; La Sivo Utageuka Kwa Mngongo wako! Na Wasema Wakati Akishindwa Nasser Muhammad Al'Yamani Kubainisha Aya Basi Asema Musiulize kuhusu Mambo Ikifafanuliwa muchukie Na Alafu Ugauke Kwa Mngongo Wako! Na Atakae Geuka Kwa Mngongo Wake Basi Hatomdhuru Allah Kitu Na Atawajazi Allah Wanao Shukuru, Na Huyo Hapo Sisi Tumerudisha Kwako Jibu Kutoka Kwa Muhakam Ilio Wazi Kitabu, Basi Lakini Iko Wapi Mngongano Ambao Umetutuhumu Nalo Ndugu Yangu Mkarimu? Na Akukitishe Allah Katika Njia Ilionyoka.


Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Ndugu Yenu; Al'Imama Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
ـــــــــــــــــــــــ